Umeme ziii mkoa wote wa Mwanza sasa hivi...

MwanaCBE

JF-Expert Member
Sep 23, 2009
1,771
804
Hakuna umeme mkoa wote wa Mwanza hivi navoandika. Tangu wiki jana umeme umekuwa unakatika hovyo pasipo taarifa yeyote. Tanesco twambieni kuna tatizo gaoi Mwanza?? Hii kuku inaitwa Ngeleja ningekuwa na mashine ningesha ipeleka mahala pake pa mapumumziko ya milele faster(si inakujaga 84)... Yani inakera sana hii mijitu.
 
wow, this pass through the Mods walls???

Is there any thransparency here?? or we should get out of this group?
 
Niliwahi sema huko siku za nyuma,kitendo cha JK kumwacha Ngeleja na Malima wizara ya nishati na madini ni kulinda maslahi ya mafisadi woote wa ccm na si vinginevyo. Nadhani mnayaona wenyewe.
 
Back
Top Bottom