Umeme umevumbuliwa na watu weusi

GENIUS JAGUAR MONSTER

JF-Expert Member
Mar 20, 2020
217
250
WAKUU WAKUU, hii ni wake up call kwa waafrika wote ( black people). Wakuu inatakiwa tujifunze sana juu ya mtu mweusi, kumbe darasani tulikua tunajifunza kuhusu historia za uvumbuzi na kuambiwa wazungu ndo wamevumbua karibia technology zote duniani, utafiti unaonesha kumbe watu weusi ndo wamefanya mambo mengi nyuma ya pazia na wazungu wakawa wana copy na ku paste na kudai kwamba wamevumbua wao. Basi na sifa zote zikawa zinaenda kwao.

Kwanza kabla ya kuelezea picha husika naomba tuelewe kwamba misri aliishi mtu mweusi, na kila kitu kikichojengwa misri kimejengwa na mtu mweusi, kuanzia pyramid hadi uvumbuzi wa umeme wa DC. ni ngumu sana mwafrika mwenzangu kuamini hivo kwa sababu vitabu vyote vya historia vimeandikwa na mzungu, na mzungu hakutaka superior history ya mtu mweusi ieneee duniani. Lakini wakuu watu weusi ndo tume originate everything great. Sipendi kubishana sana. Nendeni huko misri mfanye udadisi. Unaambiwa waarabu waliopo misri sa hv ni wa juzijuzi tu miaka kama 1500 iliyopita. Blacks wameishi mda mrefu sana misrina wamefanya vitu vingi.

Ushahidi, ukienda sudan utakuta bado kuna vile vi pyramid vidogo ambavyo vinaashiria kwamba kumbe ulikua ni utamaduni wa watu mweusi. Kama mnakumbuka wakush, hao ni watu weusi walioishi huko sudan nao walikua wanatengeneza pyramid.

Turudi kwenye mada husika ya hiyo picha. Kwa wale mulio soma sayansi kama mimi, mnakumbuka mambo ya cathode ray tube. Unaambiwa kuna jamaa walijua wanaitwa ma priest walikua wanatumia vyombo vya umeme. Kumbe umeme ulikuepo toka enzi hizo, tumedangaywa kwenye vitabu vya sayansi kwamba umeme mara sijui ulivumbuliwa na kina faraday. Mara sijui kina mr white. Hao wote waliukuta kwenye historia ya egypt. ndo wakaanza kuufanyia research.

Pia kama mlishawahi kusikia kuhusu baghdad battery, kumbe battery ni idea ya miaka mingi tu huko ancient egypt( black egypt). Wazungu walikutana na hizi vitu baada ya kupekua pekua historia za mwafrika huko misri.kwa hio wakikutana na kitu ndo wanakifanyia utafiti.

Irony: waafrika tumetengeneza kila kitu na bado tunadharaulika
Screenshot_20200909-145446.jpeg
 
Lumoge

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
316
500
Lakini mbona uhalisia wa sasa auendani kabisa na vumbuzi kama hizo?
Kiukweli watu wanapiga book kweli kweli lakini hakuna vumbuzi zozote tunaishia kuwasoma kina james watt, Niclaus Agust Otto kina Rudolf Diesel n.k

Bado siamini kama kuna ukweli katika hilo.
 
GENIUS JAGUAR MONSTER

JF-Expert Member
Mar 20, 2020
217
250
Lakini mbona uhalisia wa sasa auendani kabisa na vumbuzi kama hizo?
Kiukweli watu wanapiga book kweli kweli lakini hakuna vumbuzi zozote tunaishia kuwasoma kina james watt, Niclaus Agust Otto kina Rudolf Diesel n.k

Bado siamini kama kuna ukweli katika hilo.
Ukweli upo. Na ukitaka kujua kwamba watu weusi hadi sasa wanafanya uvumbuzi lakini bado wanafunikwa. Ingia youtube afu tafuta black discoveries in science. Unaambiwa kumbe watu weusi walivyo pelekwa marekani kulimishwa. Wazungu waligundua jamaa walikua wabunifu sana.. pia walidevelop culture moja ambayo ni powerful(hip hop etc..),

Pia wazungu waliokua wanajiita wanasayansi wakikua wanawasomesha na kuwatumia blacks kufanya discovery kwenye baadhi ya mambo na at the end of the day walikua wanapata credit wao. Chunguza utaona.

Pia fatilia story za vijana wa kenya walivo wabunifu na yana kuja makampuni makubwa kutoka nje yana pesa na kuchukua idea zao. Ukiwa na pesa hata idea unaweza kununua. Unajua hilo?
 
GENIUS JAGUAR MONSTER

JF-Expert Member
Mar 20, 2020
217
250
Tulichokosa black folks ni unity na elimu. Na elimu imefichwa kimakusudi. Ila tungepewa wote elimu at the same platform ingekua ni noma.
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
6,758
2,000
WAKUU WAKUU, hii ni wake up call kwa waafrika wote ( black people). Wakuu inatakiwa tujifunze sana juu ya mtu mweusi, kumbe darasani tulikua tunajifunza kuhusu historia za uvumbuzi na kuambiwa wazungu ndo wamevumbua karibia technology zote duniani, utafiti unaonesha kumbe watu weusi ndo wamefanya mambo mengi nyuma ya pazia na wazungu wakawa wana copy na ku paste na kudai kwamba wamevumbua wao. Basi na sifa zote zikawa zinaenda kwao.

Kwanza kabla ya kuelezea picha husika naomba tuelewe kwamba misri aliishi mtu mweusi, na kila kitu kikichojengwa misri kimejengwa na mtu mweusi, kuanzia pyramid hadi uvumbuzi wa umeme wa DC. ni ngumu sana mwafrika mwenzangu kuamini hivo kwa sababu vitabu vyote vya historia vimeandikwa na mzungu, na mzungu hakutaka superior history ya mtu mweusi ieneee duniani. Lakini wakuu watu weusi ndo tume originate everything great. Sipendi kubishana sana. Nendeni huko misri mfanye udadisi. Unaambiwa waarabu waliopo misri sa hv ni wa juzijuzi tu miaka kama 1500 iliyopita. Blacks wameishi mda mrefu sana misrina wamefanya vitu vingi.

Ushahidi, ukienda sudan utakuta bado kuna vile vi pyramid vidogo ambavyo vinaashiria kwamba kumbe ulikua ni utamaduni wa watu mweusi. Kama mnakumbuka wakush, hao ni watu weusi walioishi huko sudan nao walikua wanatengeneza pyramid.

Turudi kwenye mada husika ya hiyo picha. Kwa wale mulio soma sayansi kama mimi, mnakumbuka mambo ya cathode ray tube. Unaambiwa kuna jamaa walijua wanaitwa ma priest walikua wanatumia vyombo vya umeme. Kumbe umeme ulikuepo toka enzi hizo, tumedangaywa kwenye vitabu vya sayansi kwamba umeme mara sijui ulivumbuliwa na kina faraday. Mara sijui kina mr white. Hao wote waliukuta kwenye historia ya egypt. ndo wakaanza kuufanyia research.

Pia kama mlishawahi kusikia kuhusu baghdad battery, kumbe battery ni idea ya miaka mingi tu huko ancient egypt( black egypt). Wazungu walikutana na hizi vitu baada ya kupekua pekua historia za mwafrika huko misri.kwa hio wakikutana na kitu ndo wanakifanyia utafiti.

Irony: waafrika tumetengeneza kila kitu na bado tunadharaulika View attachment 1564224
Tunachotakiwa kufanya nadhani ni kuvumbua tu.

Yani kuvumbua kanuni kwa kutumia akili zetu na mambo yanayotuzunguka.

Hakuna mtu alitengeneza umeme duniani,bali kuna wavumbuzi tu wa umeme walijua kwamba kuna kitu kinafanya kazi hii na hii.

Duniani kuna kanuni nyingi ambazo hizo ndio msingi wa uvumbuzi wa mambo mbalimbali.

Wenzetu sijui wanatuzidi wapi lakini wao wanategemea kanuni,wao kazi yao ni kufanya sababu za hizo kanuni kufanya kazi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom