mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 764
LIZZY
Haya wee embu niambie naona unaujuzi zaidi humu maana nimejaribu sipati
Je unawezaje kujibu haraka haraka humu unajuaje kuwa post imeandikwa unapata notifications kwenye mobile?
Embu niambie namie nijue maana niliset kupata notifications ila inabidi niwe kwenye pc au pcmode on mobile phone ndio nijue
wana Jamvi
nilipokuwa napata dinner jioni hii, ghafla Umeme ukakatika.
nikakumbuka miaka 11 iliyopita.
ilikuwa jioni moja tumekaa mkekani tunajiandaa kula ilikuwa ni ugali na samaki na mchicha ghafla umeme ukakatika,nikainuka kwenda kutafuta Taa ya Chemli nikavaa Kandambili zangu wakati nakatisha katika ya chakula mguu ukatua ndani ya bakuli la mboga yaani samaki! haraka haraka nikautoa na sikusema kitu nikaenda kunawa nikaleta taa nikawasha tukaendelea na kupiga Menu kama kawaida lakini sikula samaki wala mchuzi mpaka mwisho nilikula mchicha tu.
nimeikumbuka hii jioni hii mara baada ya umeme kukatika wakati nakula
haya ni baadhi ya madhala ya kukatika bila taarifa.
KAMA NA WEWE UNALO LAKO UNAWEZA KUTUJUZA
Umeme ukikatika hunichanya kabisa maana hamna ninachopenda
hakiitaji umeme... basi hata akili inakua hajatulia fulani..
Invisible hua ananitext personally!
Yeahh nategemea kupandishwa cheo kutoka secretary kua assistant manager!!Sasa nimekujua weye ni mmoja wa mods au unajiggonga kwa invisible kwa kukalia jf 24/7
Ukitegemea kupewa cheo au?
Sasa nimekujua weye ni mmoja wa mods au unajiggonga kwa invisible kwa kukalia jf 24/7
Ukitegemea kupewa cheo au?
Tulikuwa Grocery moja Ifakara. Kulikuwa na jamaa amekaa mna mke wa mtu. Basi umeme ulipokatika kukawa na hali ya kutulia flani mara uliporudi ghafla tukakuta jamaa kampinda mke wa mtu kwenye ukuta. Ikawa gumzo mji mzima ......
una mtimanyongo weye!Sina hasira ila nataka uache kuleta thread zisizo na mantiki jamvini....kama umeme umekatika si uwashe chemli au kibatari?!
Umeona mkuu (kisa ana cheki na kina Invisible na Mods), ana mtimanyongo nikiwa kwenye computer nitakugongea like ili uone notification