TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 5,142
- 2,699
Habari, ndugu mteja.Hali ya Chunya inafahamika, na tunaelezwa kuwa suala hili linaendelea kushughulikiwa na wataalamu wetu.
Hata hivyo, tatizo hili sasa limefikia miaka mitatu, na wananchi wameendelea kusubiri kwa muda mrefu.
Kwa heshima, tunaomba mtupatie time line ya wazi: Ni mwezi gani hasa tunatarajia kuona hatua za utekelezaji na suluhisho la tatizo hili?
Hatuwezi kuendelea kuambiwa tusubiri bila kujua tunasubiri hadi lini.
Tunaomba muda maalum na mpango wa utekelezaji, ili tuweze kuwapa wananchi majibu yenye uhakika.
Tunashukuru kwa kutupatia maelezo haya ya ziada. Tunaomba tufuatilie suala hili na kukuletea mrejesho stahiki mara tutakapopata taarifa husika, ndani ya siku chache zijazo.
Asante sana. ^MY