mkuu rmashauri karibu tushirikiane katika kusongesha gurudumu la taifaHongera mkuu kwa kujikwamua na kutengeneza nafasi za ajira kwa waTz wenzako pia. Kama ZeMarcopolo alivyosema jitahidini sana kuzitambua bidhaa halisi na zile feki ili katika kazi zenu muwe makini na muwe na msimamo wa dhati kuwa hamtatumia bidhaa feki kwa kazi yeyote. Vilevile uadilifu na uaminifu ni vitu cha muhimu sana. Mnapochukua kazi ya mteja fanyeni kama ni kazi yenu wenyewe bila kuchakachua kwa namna yoyote ile. Hii itawajengea jina zuri kwa jamii hivyo kuwavutia watu wengi. Trust me, mtaanza kidogo kidogo na hatimaye mtakuwa na kampuni kubwa ambalo mnaweza kuwa na link ya moja kwa moja na makampuni yanayotengeza bidhaa za ubora kutoka katika nchi zinazoaminika kwa viwango kama vile Ujerumani, Uingereza, Sweden, Marekani etc. Nawatakia kila la heri.
mama Mamzalendo dili vipi bado, kama vipi tuwasilianeHONGERA SANA its a great step tutawasiliana mkuu nikiona dili lolote kwa kweli Mungu akufanikishe na abariki kazi za mikono yako la muhimu ni uaminifu na kuhakikisha jina la kampuni linakuwa na kwa usafi, rushwa urushi ulipuaji usitajwe kwako kamwe fanya kazi ya mtu kwa moyo wote bila kujali ni shilingi ngapi kwa njia hii hutakaa ukose kazi kamwe.
mkuu nimekuja Lushoto mara moja site, nikirudi next wk lazima niwatembelee.
Electrics?? Au mie ndio sijui
Karibuni ndugu tujenge nchi kwa sasa tunaendelea na mradi wa umemeshaji vijijini. Welcome for your dearly support.Habari zenu wanajamii,
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa jamiiforums hususani jukwaa la Uchumi na Biashara kwa muda mrefu. Mada mbalimbali kuhusu biashara, uchumi, kilimo, ufugaji na ujasiriamali kwa ujumla nilizifurahia na kuzipenda sana na hivyo nami nikashawishika kuanzisha kampuni ya ukandarasi wa umeme.
Hivyo leo nawatambulisha rasmi PREMIER ELECTRICS, kampuni ya ukandarasi umeme (electrical contractor) iliyosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Makandarasi (Contractors Registration Board-CRB) katika kiwango cha daraja la 6 (class 6).
PREMIER ELECTRICS inajihusisha na ufungaji wa umeme wa MAJUMBANI, MAJENGO YA BIASHARA na VIWANDANI na vilevile matengenezo (maintenance) ya mifumo ya umeme (electrical systems).
Kwa mawasiliano zaidi,
Ofisi: Stanford House, Tangi Bovu, Mbezi Beach,
S.L.P 13162 Dar es salaam, Tanzania.
Simu: (+255) 0715 050539/0766705332/0714693754/0614435355.
Barua pepe: premier-electrics@hotmail.com.
Karibuni wadau mfurahie huduma zetu.
Asanteni sana, pamoja sana.
mkuu .... hongera
my sincere advice is that ... stick to professional practice ... once you won the tender and awarded a contract fulfill what is actual on contract docs ... conditions, drawings, BOQ and specs ... dont twist anything intentionally in return of high profits, do not inflate rates, do not improvise specified building materials (uchakachuaji) and lastly do not temper with Advance payments when certified ... teh teh teh
dont be shy or hesitate to seek professional advice once any matter may arise ... design a good company management style
i wish you all the best
karibu sana mkuukiongozi ngoja baada ya wiki mbili ntakuwa nimetulia ntakutembelea tubadilishane mawazo kidogo.
Jerrymsigwa vipi bado unashangaa?Electrics?? Au mie ndio sijui
bluetooth karibu tupo badomkuu .... hongera
my sincere advice is that ... stick to professional practice ... once you won the tender and awarded a contract fulfill what is actual on contract docs ... conditions, drawings, BOQ and specs ... dont twist anything intentionally in return of high profits, do not inflate rates, do not improvise specified building materials (uchakachuaji) and lastly do not temper with Advance payments when certified ... teh teh teh
dont be shy or hesitate to seek professional advice once any matter may arise ... design a good company management style
i wish you all the best
Mamzalendo hao nyau watakuwa wameshakuwa chui muda mrefu, karibuHONGERA SANA its a great step tutawasiliana mkuu nikiona dili lolote kwa kweli Mungu akufanikishe na abariki kazi za mikono yako la muhimu ni uaminifu na kuhakikisha jina la kampuni linakuwa na kwa usafi, rushwa urushi ulipuaji usitajwe kwako kamwe fanya kazi ya mtu kwa moyo wote bila kujali ni shilingi ngapi kwa njia hii hutakaa ukose kazi kamwe.
Maganga Mkweli tunasubiri maujanja yako hata milango hatufungisafi sana kamanda .. good move .. tutawasiliana kuweza kupeana maujanja ..
hii ni spirit nzuri tujitahidi kupractise hii fani kwa kweli..
kumbuka mwanzo mgumu ila kazi nzuri kila mtu ataipenda ..