Umeme Jua naitambulisha PREMIER ELECTRICS

mkuu .... hongera

my sincere advice is that ... stick to professional practice ... once you won the tender and awarded a contract fulfill what is actual on contract docs ... conditions, drawings, BOQ and specs ... dont twist anything intentionally in return of high profits, do not inflate rates, do not improvise specified building materials (uchakachuaji) and lastly do not temper with Advance payments when certified ... teh teh teh

dont be shy or hesitate to seek professional advice once any matter may arise ... design a good company management style

i wish you all the best
 
Nikitaka Umeme Jua kwa ajili ya kutumia jiko na Aircon 3 inatakiwa kuwa kama na budget ya kiasi gani
 
mkuu .... hongera

my sincere advice is that ... stick to professional practice ... once you won the tender and awarded a contract fulfill what is actual on contract docs ... conditions, drawings, BOQ and specs ... dont twist anything intentionally in return of high profits, do not inflate rates, do not improvise specified building materials (uchakachuaji) and lastly do not temper with Advance payments when certified ... teh teh teh

dont be shy or hesitate to seek professional advice once any matter may arise ... design a good company management style

i wish you all the best
thanks very much for your professional advice bluetooth
 
Last edited by a moderator:
HONGERA SANA its a great step tutawasiliana mkuu nikiona dili lolote kwa kweli Mungu akufanikishe na abariki kazi za mikono yako la muhimu ni uaminifu na kuhakikisha jina la kampuni linakuwa na kwa usafi, rushwa urushi ulipuaji usitajwe kwako kamwe fanya kazi ya mtu kwa moyo wote bila kujali ni shilingi ngapi kwa njia hii hutakaa ukose kazi kamwe.
 
Nashukuru Mamzalendo
 
Last edited by a moderator:
safi sana kamanda .. good move .. tutawasiliana kuweza kupeana maujanja ..
hii ni spirit nzuri tujitahidi kupractise hii fani kwa kweli..
kumbuka mwanzo mgumu ila kazi nzuri kila mtu ataipenda ..
Maganga Mkweli maujanja yako nayasubiria bado, karibu
 
Last edited by a moderator:
HONGERA SANA its a great step tutawasiliana mkuu nikiona dili lolote kwa kweli Mungu akufanikishe na abariki kazi za mikono yako la muhimu ni uaminifu na kuhakikisha jina la kampuni linakuwa na kwa usafi, rushwa urushi ulipuaji usitajwe kwako kamwe fanya kazi ya mtu kwa moyo wote bila kujali ni shilingi ngapi kwa njia hii hutakaa ukose kazi kamwe.
Mamzalendo ,karibu nasubiri dili ukipata
 
Last edited by a moderator:
safi sana kamanda .. good move .. tutawasiliana kuweza kupeana maujanja ..
hii ni spirit nzuri tujitahidi kupractise hii fani kwa kweli..
kumbuka mwanzo mgumu ila kazi nzuri kila mtu ataipenda ..
mhandisi Maganga Mkweli tupeane maujanja ya town bana
 
Last edited by a moderator:
Umeme Jua,
Asante na hongera kwa kufungua kampuni muhimu katika sekta ya ujenzi.
Kuna kitu nakupmba ufanye au kampuni yenu ifanye. Wateja wa bidhaa za umeme na elektroniki nchini hofu yao kubwa huwa ni uwepo wa bidhaa feki sokoni, hasahasa pale bidhaa hizi zinapotangazwa kuwa ni "mali halisi". Jitahidini m-develop mfumo wa kuwawezesha wateja kupata taarifa sahihi ya jinsi ya kuitambua bidhaa halisi na feki. Taarifa hizi peke yake ni bidhaa na biashara pia, hata kabla ya kuuza bidhaa yenyewe.

Kuna siku nilikuwa Kariakoo kununua nyaya za umeme na nilijisikia mnyogne sana dada mmoja wa kihiindi aliponiambia hii nyaya ni feki, iko original yake kwa bei tofauti. I was like, what if the original is also fake??? mainjinia tusaidieni, soko limevamiwa...

Vilevile nawashauri mfungue skype na facebook account ambazo tunaweza kupata taarifa moja kwa moja. Mtu akiuliza makadirio ya gharama mpeni angalau rough estimates with caution, kuliko kumwambia kuwa bei mpaka mfike site. Wateja wanapenda kujua makadirio, hata kama final figures zitakuwa tofauti.

Tuko pamoja...
Mkuu ZeMarcopolo hauna project ya electrical installation utupigie pande?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom