- Thread starter
- #21
Tafadhali nisaidie katika hili ni kwa jinsi gani inakula kwako nataka ami ni nunue unit nyingi kesho.
kwa mujibu wa Ewura,ukinunua kesho n b4 jan 15 haina tatizo,ila afta 14 jan ukinunua beyond 50units unaichangia Dowans
Tafadhali nisaidie katika hili ni kwa jinsi gani inakula kwako nataka ami ni nunue unit nyingi kesho.
Mwandishi: mheshimiwa waziri ngeleja huoni kuwa bei ya umeme iko juu sana kiasi kwamba wanachi wa vijijini na wafanyakazi wa kawaida hawataweza kumudu gharama hizo na bidhaa nyingi zinazozalishwa viwandani vitapanda bei.
Waziri: Hilo limezingatiwa lakini gharama lazima zipande kwani gharama za uzalishaji ziko juu sana na Kama mnavyovua tanesco wana mzigo mkubwa sana wa Deni la Dowans. Wananchi ambao wataona kuwa gharama hizo ziko juu na hawawezi kuzimudu basi warudi vijijini au watumie vibatari.
Ukitumia chini ya 50 ina maana ongezeko hulifikii au inakuwaje?tuelewesheni basi
Hivi ni kweli chini ya unit 50 hawaguswi mbona nimesikia wakisema chini ya hapo utalipia sh 194 kwa unitHalafu umepanda wakat ambao atleast unapatikana,wale wanaotumia unit 0-50,hauwagusi,wanaopinga wakate rufaa kwenye tume ya ushindani ya biashara
Ha! ha! ha!!!. TUMETHUBUTU,TUMEWEZA NA SASA TUNASONGA MBELE!
Hivi ni kweli chini ya unit 50 hawaguswi mbona nimesikia wakisema chini ya hapo utalipia sh 194 kwa unit
saa izi ni kufikiria kutumia unit zisizozidi 50! cko tayari kumlipia kikwete,lowasa na rostamu kwenye ile tuzo yao ya dowans. KIKWETE "SIWAJUI DOWANS"
hIVI UKINUNUA unit nyingi kabla ya hiyo tarehe si itasaidia, japo kwa miezi 4 mbele!
Itasadia japo si saana. Mie mwenyewe nimenunua kama unit mianane hivi, zitavuta kama miezi mitatu hivi
unafanyia tanesko?
Next tym ukinunua jitaid uwe na unit 50 ,beyond that itakula kwako
Tafadhali nisaidie katika hili ni kwa jinsi gani inakula kwako nataka ami ni nunue unit nyingi kesho.