Umemdondokea nani humu chumbani

How can I know my favourite colour is tarquoise if I don't have choices of other colour...I can only make choices when I have varieties

I present myself as an optional colour, just in case you need choices..hahahaha!
 
Nisiombe af mi nile nini na watoto.....we mwanamke jiangalie yan umepewa lifti unataka kupiga na honi? Shika adabu yako

ha ha ha ha Khantwe mbona maneno kukutoka hivyo loh.... sasa lifi kama naona unagonga mtu sinapiga honi jamani mweee.... usiombe hela
 
Last edited by a moderator:

Hahahaha..lolest...mimi am waiting for the winner😉😉
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa... Eli79 una tabia mbaya umenifanya niangue kicheko mbele ya watu

Hahahaha...hata mimi imebidi nicheke coz uliniacha na ngeu..lol..!
 
Last edited by a moderator:

I will sing this beautiful song every moment ninapohema...
you are my everything, you are the world to me
without you am nothing, with you am something, together we are something
Eli79 pisha njia
 
Last edited by a moderator:
Hommie hapa tunadiskasheni nini maana kumtoa mwennyekiti kwenye mkutano wa UKAWA sio jambo dogo, ujue tunajadili hadi umri wa Miss Tanzania. Hapa kuna nn? Lisa kafanyaje tena?

Mwenyekiti na homuboi wangu.... ni hiyu Lisa kaniita shemeji mbele ya mabinti naotaka kuwasajili kwenye chama..... Yani ni kama Mbowe aseme Kidumu Chama Cha Mapinduzi kwenye mkutano mkuu wa CDM anapoomba kura za kuwa mwenyekiti....

Baaada ya kusema hayo naomba mwongozo wako kama huyu Lisa apewe kadi ama laa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…