Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,760
Unajua mwaka ndio unamaliza huu ,itakuwa si busara ,yeah si unajua hapa humu mmu ndio kwenye mademu wa JF ambao wako tayari kabisa kushare our feelings na theirs ,sidhani kama wapo humu just kuandika na kusoma cmon ladies ,kwenye mkusanyiko kama huu si ajabu mambo mengine yakaota kama majani .
Na msizarau kama mwaka huu inawezekana kabisa bahati ya kubahatika ikakuangukia na kwenda jela kwa kufungwa pingu za maisha ,itikia ameeein ~ Amein.
Kama utani tu tuanzeni kiwongowongo umemwona nani humu bila ya kuona haya na ndugu yake aibu umeamua kumwaga ukweli kuwa anakupa wakati mgumu kuweza kufikiri kitu kingine zaidi yake ,tatizo analokusababishia kuuwa akili yako na kuona moyo wake ndio kaburi lako ,je kama kuna nafasi ndani ya moyo wake anaweza kukuweka .
kupigania kunaruhusiwah ! Mi ningeanza ila kwa vile ni mkuu wa kongamano itabidi niwe wa mwisho ,,mara itakuwa kweli ,lazima nihudhurie !