Beauty Eva
Senior Member
- Jul 22, 2016
- 131
- 374
Ni rafiki uako yupi hujui alieda wapi na huwa unam-miss sana na unatamani itokee siku mkutane tena?
Mtaje labda na yeye yupo humu na atakusikia
Mimi naanza na Fatma Ahmed Tamim, nilisoma nae Jamhuri High School Dodoma na alikuwa anaishi Area C