Umelazimishwa

kweli urembo gharama!!si tu ya mafweza bali pia gharama ya maumivu!!!au anamtekenya!
 
Yani haya madudu wanayotumia wadada jamani, yakianza kuleta majibu sasa, ninawasiwasi wadada wengi hawataonekana mjini
 
wanawake bana! yani mshahara wote unaishia hapo tu, afu eti ndo kusiwe na mtandao,subutuuuu
 
hivi mnajua maumivu ya kuchora tattoo?...jaribu kufikiria uwe unachomwa chomwa na kundi la vipini au visindano mfululizo
 
yaani anaweza akauminya mshobobo ndani kwa ndani ukabaki unalia kwa utamu na uchungu
 
hivi mnajua maumivu ya kuchora tattoo?...jaribu kufikiria uwe unachomwa chomwa na kundi la vipini au visindano mfululizo

Hivi hizo pin/sindano ni disposable? Au huwa wanazi sterilize? Maana naona mchoraji kajikinga kwa gloves wateja je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…