Umekutana na wizi wa namna hii!

Umekutana na wizi wa namna hii!

Mambo haya yapo kwa mataifa mengi mojawapo yakiwa LIBERIA, SIERRA LEONE, NIGERIA, IVORY COAST,UGANDA NK KIMBIA FASTA TOKA NDUKI
Ni hatari aisee, na huenda hata ni watanzania wenzetu...
 
Wana IT. wako kazini. Watcht out.

Kuna mtu pia alitumiwa kama hiyo hiyo mtumaji akidai mimi ni ndugu yako nipo London, wakati mwenye e mail hiyo hata nje ya Arusha hajawahi kutoka. Tuwe makini sana.
 
jiepushe na ule mtindo wa kusign up blog nyinginyingi afu uaweka basic info kama jina lako, la ukoo, birthdate, ur location , occupation, n.k.
mi huwa nawafix ila sometimes wanagundua, afu ngoma droo! kama siku moja walinitumia kuwa nimeshinda loterry ya microsoft co operation wakaniamambia niwatumie jina, kitambulisho na account namba, nikavichakachua fasta vya uongo nikawatumia. wakaniambia nifungue account ya kibritish ambayo inabidi udiposit kitu kama laki 6. niakaona utapeli nikachapa lapa ukizingatia kipindi hichi ndo nimetoka chuo, niko kwenye transition period ya bum na sarary. ilikuwa hela nyingi kwangu kitu kama million 25 hivi. afu wanakwambia usimuonyeshe mtu hata kama ni ndugu eti utatapeliwa, kwa sababu mi naamini kupata pesa lazima ufanye kazi tena ngumu. so i think no free lunch under the sun.
 
Pole sana iliwahi kumtokea Lecturer wangu. Nikashangaa napata email toka kwake ananiomba msaada. Duuh nikajiuliza mimi hizo hela nizitoe wapi na wakati anajua fika mimi siwezi kuwa na hiyo hela. Kwanza mtu mwenyewe nilikuwa nategemea boom. Nikamwambia pole sana cha msingi unipe number za ndugu zako au ofisi zao mie ninaweza kuwaibukia ata manually niwataarifu wakusaidie. Baadae nikaja pata taarifa kuwa email yake iliingiliwa akawa hawezi kuiaccess.
 
Ahahahaaah!! Hii kumbe imewatokea watu wengi
 
Back
Top Bottom