Umekutana na hali kama hii kwenye usafiri wa umma, utampisha nani?

Huyo Kilema mwenye wheel chair tayari ana siti yake, huyo sitahangaika naye.

Anayefuata ni mama kabeba mtoto, ntamchukua huyo mtoto nimpakate mimi huku mama mtoto akiendelea kushikilia bomba.

Huyo mwenye magongo nitamuacha asimame kama sehemu ya zoezi ili kujiimarisha vizuri misuli ya miguu.

Huyo Mzee nitamruka kwasababu uzee sio ugonjwa.

Huyo mjamzito sio ishu yangu, nitawaachia mitihani wanawake wenzake nione kiwango chao cha huruma maana wao ndio wanajua wakiwa kwenye situation hiyo nini wanakutana nacho.

Wakisipo mpa siti mwanamke mwenzake basi nitajua ujauzito sio ishu kubwa.
 
Wote watashikilia bomba tu.
Ila jamaa mwenye hogo itabidi nimuhurumie
Nimecheka Mimi mwenyewe Nina hogo hapa kumbe ningepata siti japo na muda mrefu sijafanya unnecessary movements

Nikiona watu wanatembea with their legs nawatamania hope with time ntakaa sawaa

All in all,
Tumshukuru maulana
ASANTE SANA mwenyezi Mungu kwa kila Jambo
 
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…