Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,117
- 49,472
Picha pleasePapuchi
Picha pleasePapuchi
Naaam maalim naona uko na msuli wako safiiii unapunga na hewa kabisa huku ukiskiliza kiraa kizuri toka kwa msomaji qur anUbwabwa.maharage ya Nazi.na samaki wa kukaanga.sasa nipo kitandani navuta uradi.na kusikiliza Quran .Surat fatir
View attachment 677371
Karibu tukule mkuu...
.......Mwanaume wa Dar anatafuta starter.
Wwe ni wa kule kwetu leesinyai mkuuNgararumu....wamasai watakua wameelewa
Ndyo maana wewe ni mjingaUbwabwa.maharage ya Nazi.na samaki wa kukaanga.sasa nipo kitandani navuta uradi.na kusikiliza Quran .Surat fatir
Pre-mature ejaculation ndyo husababisha kula hayo madude pole sana
Mpaka hapo umeshafeli form6 wewe school kid nenda kasome shithole mkubwaPapuchi
Mkuu hyo ina protein nyingiiiiPre-mature ejaculation ndyo husababisha kula hayo madude pole sana