Cpendagi Hayo Madude.Mi nakula nyanya chungu na lekokobanga le bamuyee we umekula nini
View attachment 677275
Una mkono wa kiume..Mi nakula nyanya chungu na lekokobanga le bamuyee we umekula nini
View attachment 677275
Unatuharibia banaView attachment 677371
Karibu tukule mkuu...[emoji39] [emoji39]
I wish wangu nae awe hiviUbwabwa.maharage ya Nazi.na samaki wa kukaanga.sasa nipo kitandani navuta uradi.na kusikiliza Quran .Surat fatir
Nimezimisi na loshoroNgararumu....wamasai watakua wameelewa
Huo ndio msosi wa huku kwetu mkuu.....[emoji12] [emoji12]Unatuharibia bana
Wako nanI wish wangu nae awe hivi
Aaarghh