Umekaona katoto ka karucee na olesaidimu

Aisee ipo siku nita log in JF nianguke flat kwa BP.

Guys am not your grandmother kila siku kunitundika notsi bodi.
miss neddy nikikukamata nakunyoa kiduku. Nywele zenyewe kipilipili sijui zitaota mwaka gani?
 
Last edited by a moderator:

hebu acha kelele wewe! huu mkwara unampiga nani?
miss neddy is my queen... mpaka umguse utakuwa ushalowa chapa chapa...!
 
hahahaha the king amesahau kwamba wewe ni zaidi ya king to me
 
Last edited by a moderator:
Aisee ipo siku nita log in JF nianguke flat kwa BP.

Guys am not your grandmother kila siku kunitundika notsi bodi.
miss neddy nikikukamata nakunyoa kiduku. Nywele zenyewe kipilipili sijui zitaota mwaka gani?

hahahah utanipunguzia gharama afu nataka kiduku cha chini
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom