Hata eagleLabda balimi
si unanijia pm tufarijiane?Tusio na mtoko tunacomment wap

Utakapoenda kuliwa wewe
Mkuu hujanipa koro show zangu ujue... Christmas imefikaNitavaa sare za Chama changu (Kijani) kisha niende Lumumba.
Mkuu hujanipa koro show zangu ujue... Christmas imefika


Hehehe una kumbukumbu kama ya Yusuph Mlonza.Hahahahahahahahahah siwezi sahau mkuu... Kama tu namkumbuka abudala na sosipita nitasahau koro show??Hehehe una kumbukumbu kama ya Yusuph Mlonza.
Mwezi ujao nakuja huko nakuja nazo.
hehehhe kwani umerudi kutoka kule?Hahahahahahahahahah siwezi sahau mkuu... Kama tu namkumbuka abudala na sosipita nitasahau koro show??
Yeah nilisharudi mkuu...nimekuja kuhesabiwahehehhe kwani umerudi kutoka kule?
Sawa nikukute hapo hapo.Yeah nilisharudi mkuu...nimekuja kuhesabiwa
Sawa...ila ungekuja na koro show kabisa ingependezaSawa nikukute hapo hapo.
Nakuja nazo kilo 2.Sawa...ila ungekuja na koro show kabisa ingependeza
Nitashukuru mkuuNakuja nazo kilo 2.
Nitashukuru mkuu
Translation inapatikana wapi mkuu?Hjakkazana kyimla mhaman thruma nzinda.
See Translation.
Kwenye linkTranslation inapatikana wapi mkuu?
Hakuna link hapoKwenye link
Usijari mkuu nipe location yako nikuelekeze