Umejipangaje mtoko wa kesho

Umejipangaje mtoko wa kesho

Mi wanawake zangu wote wameninunia.. Najua mnajua sababu Ni nini..hivyo basi ntakua ndani tu kwa msaada Wa Emperial blue ukinipa company
 
Umejipangaje mtoko wa kesho ? Utatoka na nani ? Umejiandalia pocket money ya shilingi ngapi?

Binafsi kesho niko tu gheto na mtoto mkali atapika tukimaliza kula tu ndio muda wa kumla mpishi mpaka Morning siku ile ya boxing day,

Itakuwa ni mwendo wa kuamka kunywa maji na kuendelea na game

Cc Zero IQ.
Nitatoka na mume wangu...pocket money anayo yeye mwenyewe
 
Umejipangaje mtoko wa kesho ? Utatoka na nani ? Umejiandalia pocket money ya shilingi ngapi?

Binafsi kesho niko tu gheto na mtoto mkali atapika tukimaliza kula tu ndio muda wa kumla mpishi mpaka Morning siku ile ya boxing day,

Itakuwa ni mwendo wa kuamka kunywa maji na kuendelea na game

Cc Zero IQ.
Tukutane dar live mbagara
 
Back
Top Bottom