Ujumbe mzur sana huuuuu hasa number 11. Jifunze kusimama mwenyewe itakusaidia katika kutimiza baadhi ya malengo yako katika maisha.
2. Usifanye kitu kwasababu wengi wanakifanya.
3. Usimuamini mtu sana hasa katika biashara na pesa
4. Weka akiba maalum kwaajili ya dharura na nyingine kwaajili ya malengo ya muda mrefu.
5. Ukiwa na malengo usikamie sana kutaka kuyatimiza kwa haraka.
6. Tambua wapi una umuhimu na wapi huna umuhimu itakusaidia kuepuka kujipa umuhimu kwa watu wasiojali uwepo wako.
7. Ishi uhalisia wako hata katika mitandao ya kijamii.
8. Simamia unachokiamini hatakama utabaki kukiamini peke yako.
9. Kila mmoja ana matatizo yake, jifunze kutokuwa mzigo kwa wengine.
10. Maisha ni mafupi, fanya unachopenda na ishi unavyotaka.
11. Jifunze kutunza SIRI.
Mafundisho mazuri sana ila point nambari 10 kwenye kufanya na kuishi utakavyo, hakikisha ni mwenye kuridhiwa na mola wako kulingana na ufanyavyo na uishivyo vilevile1. Jifunze kusimama mwenyewe itakusaidia katika kutimiza baadhi ya malengo yako katika maisha.
2. Usifanye kitu kwasababu wengi wanakifanya.
3. Usimuamini mtu sana hasa katika biashara na pesa
4. Weka akiba maalum kwaajili ya dharura na nyingine kwaajili ya malengo ya muda mrefu.
5. Ukiwa na malengo usikamie sana kutaka kuyatimiza kwa haraka.
6. Tambua wapi una umuhimu na wapi huna umuhimu itakusaidia kuepuka kujipa umuhimu kwa watu wasiojali uwepo wako.
7. Ishi uhalisia wako hata katika mitandao ya kijamii.
8. Simamia unachokiamini hatakama utabaki kukiamini peke yako.
9. Kila mmoja ana matatizo yake, jifunze kutokuwa mzigo kwa wengine.
10. Maisha ni mafupi, fanya unachopenda na ishi unavyotaka.
11. Jifunze kutunza SIRI.
Asante. Umeifafanua vema kabisa.Mafundisho mazuri sana ila point nambari 10 kwenye kufanya na kuishi utakavyo, hakikisha ni mwenye kuridhiwa na mola wako kulingana na ufanyavyo na uishivyo vilevile
Mmmmh.....Mejifunza, kuwa watu wanaowahi sana kutoka nyumbani asubuhi na kuchelewa kurudi nyumbani jini ...kwenye miji/familia yao kuna kitu hakiko sawa
Nimejifunza kukiwa na jambo baya serikalini , Samia anasema hausiki nalo. Lakini kukiwa na jambo zuri anajidai na yeye ni sehemu ya waliofanikisha jambo hilo1) Mie binafsi nmejifunza kusave money
2) Kutomridhisha kila mtu
3) Kufanya kila jambo la maendeo kwa usiri mkubwa
4) Kutokumuamini mtu awe ndugu au rafiki imenisadia sana kupiga hatua
5) kuongeza vyanzo vingi vya kupata pesa
6) Kuacha umbea sehem za kazi kwasb nilirekodiwa maneno yakaenda kwa boss na kushushwa cheo
7) Kuacha kwenda kwa waganga na kumtegemea mungu na mambo yang kwnda vzr kabsa
8) kuacha kulalamikia wanasiasa kuwa hawajafanya hichi na kujikita katika biashara biashara ndogo ndogo na kujipatia kipato
Tunaweza share pamoja katka mwaka huu ulicho jifunza na kikawa msaada mkubwa kwako
View attachment 2034562
Na mimi nimejifunza hivi vitu hapa kwako, kabla mwaka haujaisha. Asante sana.1) Mie binafsi nmejifunza kusave money
2) Kutomridhisha kila mtu
3) Kufanya kila jambo la maendeo kwa usiri mkubwa
4) Kutokumuamini mtu awe ndugu au rafiki imenisadia sana kupiga hatua
5) kuongeza vyanzo vingi vya kupata pesa
6) Kuacha umbea sehem za kazi kwasb nilirekodiwa maneno yakaenda kwa boss na kushushwa cheo
7) Kuacha kwenda kwa waganga na kumtegemea mungu na mambo yang kwnda vzr kabsa
8) kuacha kulalamikia wanasiasa kuwa hawajafanya hichi na kujikita katika biashara biashara ndogo ndogo na kujipatia kipato
Tunaweza share pamoja katka mwaka huu ulicho jifunza na kikawa msaada mkubwa kwako
View attachment 2034562
Hilo la kuacha waganga baki nalo wewe wengine ndio imani zetu kama wewe unavyoenda kutoa sadaka wa manabii.1) Mie binafsi nmejifunza kusave money