Umejifunza nini kwenye huu utawala wa Magufuli? Hiki ndicho nilichojifunza

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,945
Aman iwe nanyi wakuu wa jukwaa

Kuna kitu nimejifunza kikubwa sana kwenye huu utawala wa Rais Magufuli.

1. Heshima kwa watu wote wakubwa na wadogo
Hakika hakuna wakati ambao Watanzania tunaheshimiana kama sasa yaan imefikia hatua hata machizi hawatembei tena na viboko na kuanza kuchapa watu hovyo hovyo

Hata wale majamaa wa masokon ambao wakiona mdada kavaa nguo fupi hawapigi tena kelele na kupiga miluzi kama ilivyo kuwa zaman

2. Hakuna tena kuulizana kuwa unanijua mimi ni nani

3. Upole - Watanzania kwa sasa ni wapole sana wenye mawazo

4. Ufisadi - Mafisadi bado yapo japo yanauma na kupuliza

5. Makonda -

Hayo ndo niliyojifunza nawe weka yako

LONDON BOY
 
Mwishowe mtaseme awamu hii watu wamepunguza kupiga nyeto!! Anyway Mimi hata sielewi ila nachojua wasanii wamejua kula na wanasiasa #BABA LAO
 
Mambo ya kijingajinga mfano kuibuka kwa Dr.Shika,Wasiojulikana,Lisu kupigwa risasi na mpka Leo hawajulikani waliompiga risasi.Alfonce mawazo Wasiojulikana walimfyekelea mbali.
 
Magufuli is a country bumpkin.

Aliweza kulificha ficha kiaina hili alipokuwa waziri, ila urais umemuumbua.
 
Watu siku hizi wanaheshimiana barabarani sio mwenyegari, wala mtembea kwa miguu. Kiburi barabarani kiliisha 2015
 
Hapo namba 5 mi sijaelewa
Aman iwe nanyi wakuu wa jukwaa

Kuna kitu nimejifunza kikubwa sana kwenye huu utawala wa Rais Magufuli.

1. Heshima kwa watu wote wakubwa na wadogo
Hakika hakuna wakati ambao Watanzania tunaheshimiana kama sasa yaan imefikia hatua hata machizi hawatembei tena na viboko na kuanza kuchapa watu hovyo hovyo

Hata wale majamaa wa masokon ambao wakiona mdada kavaa nguo fupi hawapigi tena kelele na kupiga miluzi kama ilivyo kuwa zaman

2. Hakuna tena kuulizana kuwa unanijua mimi ni nani

3. Upole - Watanzania kwa sasa ni wapole sana wenye mawazo

4. Ufisadi - Mafisadi bado yapo japo yanauma na kupuliza

5. Makonda -

Hayo ndo niliyojifunza nawe weka yako

LONDON BOY
 
Binafsi nimejifunza watu wengi walikufa kwa magonjwa ya moyo kama waliobolewa na kutumbuliwa bila kufuata sheria ma ongezeko la watu kurudi vijijini na familia zao na ongezeko la watu njiani kuongea peke yao na chenzi kama sh.100 au 50 mtu anaing'ang'ania hadi kutishia kwa kisu kuliko akuachie
 
Back
Top Bottom