Umeichoka ndoa yako?

Umeichoka ndoa yako?

Sasa ndio naanza kumuelewa lara 1 kuwa ndoa ni Taasisi ya Kinafiki. Hypocritical instistution make kuna wakati unahisi kumchukia mmeo/mkeo lakini utamfanyia tu kwa sababu ni wajibu wako
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmh watu ndoa zinawafanya wapumlie mirija poleni jaman mkabidhin Mungu ataziponya
 
Paragraph hii umenena mkuu, Asante sana. Bujibuji
"... narudia nilichosema asubuhi, mwanzilishi wa ndoa ni Mungu, ndoa ni taasisi, aliyeianzisha anajua ni namna gani anataka iwe, ni bahati mbaya ndoa zetu nyingi zina mume, mke na watoto lakini hazina Mungu!..."
 
Last edited by a moderator:
Mimi ndoa yangu tamuuu sihitaji ushauri wa mtu. Rahaaa rahani. Asante Yesu
 
Kuna kila aina ya changamoto zinazokabili ndoa nyingi na kila mtu ana sehemu ambayo anaweza kuelezea, lakini kutokana na mfumo mamboleo 'NEW AGE' ambayo inachukua nafasi wakati huu kila mtu anapewa nafasi ya kuweza kujiamulia mfumo wa maisha yake yeye binafsi akiwa na ELIMU, MALI, KIPATO nk.

Lakini jambo moja ambalo niliwahi kusoma katika moja ya vitabu vya kale ambacho kiliandikwa na mmoja wa manabii wa huko nyuma kilinifumbua macho hasa katika paragraph hii hapa chini:...

"Eve had been perfectly happy by her husband’s side in her Eden home; but, like restless modern Eves, she was flattered with the hope of entering a higher sphere than that which God had assigned her.-In attempting to rise above her original position, she fell far below it.-A similar result will be reached by all who are unwilling to take up cheerfully their life duties in accordance with God’s plan.-In their efforts to reach positions for which He has not fitted them, many are leaving vacant the place where they might be a blessing.-In their desire for a higher sphere, many have sacrificed true womanly dignity and nobility of character, and have left undone the very work that Heaven appointed them"

Hapo juu nilijifunza udhaifu au nafasi ambayo mmoja wa wanandoa aliamua kuikimbia na matokea yake baadhi ya wanandoa wanaona majuto na kuona ndoa kama ugonjwa wa EBOLA.

*NB baadae nitaleta comments kwa upande wa pili.
 
Mtoa Uzi unatoa ushauri kwa wote kwa pamoja au mtu mmoja mmoja kama
Mama mnakaa wawili ndani unamshauri
 
gud, ni kitabu gani hicho nikisome rafiki na kimeandikwa nani pia chaweza patikanaje?
 
Mkuu kinaitwa patriachs and Prophecy majuzi nilipata cha kiswahili japo ninacho cha kizungu, ukiwa na nia nicheck PM nikuunganishe na muuzaji. Sokoro waito.
 
Last edited by a moderator:
Itabidi nianze kupangua viformula ambavyo navitafakari kuhusu ndoa labda naweza badili uelewa wng kuhusu maisha ya ndoa
maisha ya ndoa hayana formula ila unatengeneza we na mwenzio maisha mtakayo kuwa comfortable wote wawili na pia wote mnakubaliana nayo au mnaamua kuchukuliana
 
ugumu wa ndoa kwangu ni pale ndugu wa mume wanapoingilia maisha yetu mara waje mawifi,mama mkwe na mumewe, mashemeji wanataka misaada yan hawanaga aibu mpaka kero sasa hapa ndoa inakuwa ngumu maana ntagombana na mume wangu

Nao wana sehemu ya haki kwa mtoto wao/kaka yao/ mdogo wao. Mshauri awape kwa kiasi na si kugombana kwa sababu amewapa.Tafakari; na wewe iko siku utakuwa wifi/mama mkwe.
 
maisha ya ndoa hayana formula ila unatengeneza we na mwenzio maisha mtakayo kuwa comfortable wote wawili na pia wote mnakubaliana nayo au mnaamua kuchukuliana
Comment nzuri sana miss chagga, haina maneno mengi lakini imebeba ujumbe wote...
 
Back
Top Bottom