Umeichoka ndoa yako?

Umeichoka ndoa yako?

Kama msaada unawezekana wasaidiwe tu usijiumize sana bana. Kama hayawezekani ni muhimu mumeo akaliweka hilo wazi kwa ndugu zake. Halafu usijekuta kwenu unasombea misaada na malori kama yale ya UNHCR ikija upande wa pili ndio unalalamika.

ugumu wa ndoa kwangu ni pale ndugu wa mume wanapoingilia maisha yetu mara waje mawifi,mama mkwe na mumewe, mashemeji wanataka misaada yan hawanaga aibu mpaka kero sasa hapa ndoa inakuwa ngumu maana ntagombana na mume wangu
 
Back
Top Bottom