Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,265
- 8,094
Are you sure that Sir, Honorable Bujibuji is not sexually satisfied?
100%......read his posts
Are you sure that Sir, Honorable Bujibuji is not sexually satisfied?
kinachofanya watu waichoke ndoa ni walikurupuka,ndoa yao haijajengwa na UPENDO bali ni wameoana tu kwa vile muda umeenda,au mimba,au mali,au stress za kuachika kwenye relationship za nyuma. Yes ndoa iliyojengwa na upendo ina changamoto pia ila panapotokea kupishana wanakaa pamoja kwa upendo na kuyamaliza,ila hizi zilizojengwa na stress ni kuumizana tu utasikia wewe hukua chaguo langu nilikubali tu kuolewa na wewe sababu ya umasikini au sababu muda umeenda au sababu ya mimba yaani ni full kukomoana. Raha ya ndoa ni ijengwe na UPENDO WA PANDE ZOTE MBILI.
Tatizo Ni kujua Kama Kweli Mtu Uliye nae ana Upendo wa Ukweli?Me Nilisha amua Sitakuja Kuoa.
Duh!! Comment zinakatisha tamaa kwa sisi ambao bado atujaingia kwenye ndoa...hamna ata ya kutupa moyo.!!
Jaribu kushauri na wale ambao bado ili tujiandae tukiingia tujue kipi tufanye ili tusiichoke ndoa
wake za watu wakutafute?
Upendo ni kitu muhimu sana katika Ndoa , Palipo upendo kuna Amani ,Furaha , hata kama kuna tatizo hukaa kwa upole kutafakari pamoja na kumaliza tofauti zao .
Bujibuji umeanza lini kushauri kuhusu ndoa???
Sure Miss NazjazHata Mungu anakuwepo palipo na upendo
Kwahizi comment nazidi kuogopa ndoa kwakwel
unapatikana wap mi imenichosha na kuniumiza sana
Mi nimechoka najikaza tu.
Muda mwingine unaamua kuwa mpole ila baada ya muda unagundua kuna mambo yanafanyika ya kuumiza!
Mmh hapana Aisee.
So what??? Kama ulikuwa unataka kutoa ushauri ungeutoa wazi mbele ya kadamnasi , sasa utafutwe ili iweje? Ahhh Gileeeeeeeesiiiiiii(usipanic mkuu)
By the way ndoa yangu tamu kushinda asali, sina matatizo wala sijaichoka ,kwanza kila siku naiona mpya...mahaba mahabani!
hakika yeye ndio tumaini pekee, bila uwepo wake hamna ndoa imaramwite mungu atakusaidia,
100%......read his posts