Bado kitendawili hakijateguliwa kwani nilichotaka kigunduliwe hakijagunduliwa.
mi nakupa mji......Kibondo
bado kitendawili hakijateguliwa kwani nilichotaka kigunduliwe hakijagunduliwa.
mwenge ni mali ya ccm thats why huyo alie vaaa kijani anaukabidhi or kupokea.
mwenge ni mali ya ccm thats why huyo alie vaaa kijani anaukabidhi or kupokea.
Picha haisomeki --ni ishu za kula kodi za walalahoi tu hapo!
Dhana ya mwenge ilikuwa ni nzuri sana wakati inaanzishwa na sioni chama ambacho kitauondoa mwenge wa uhuru. Kati ya alama za taifa hili ni pamoja na mwenge wa uhuru. Nyerere alipowasha mwenge wa uhuru alisema" Sisi tunaka kuwasha mwenge, na kuuweka juu ya mlima wa kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu, ulete tumaini pale ambapo kuna uchuki na heshima ambapo pamejaa dharau" Maneno haya hayana chama wala hayamubagui mtanzania yeyote.Hapana sio mali ya CCM, ni mali ya Watanzania. Ila wenye imani nao ni Chama tawala. Lakini kabla hatujaanza kuhoji uhalali wa Mwenge inabidi tufahamu malengo ambayo mwenge huo ulianzishwa kutekeleza. Je, yalishatimia. Kama lengo lilikuwa kuhimiza umoja na kuwakumbusho Watanzania kuhusu uhuru wao, lengo hilo limeishatimia, mbona bado watanzania wanaendelea kuzaliwa, hivyo wanapaswa kuona hiyo kitu na kuelezwa maana yake ?