Ni kama wanaiga kama m4c,lakini wanatumia mwenge,magamba yana akilio mbovu,ilo dubwasha lonaeneza ukimwoi na kuhamasisha uhasherati zaidina linatumia kodi zetu kutua wenyewe,lifutwe kabisa ma sitaki kulisikia,magamba tu mambo yao ndio wako boze nalo
Hivi mwenge ni wa chama au wa serikali? mbona sielewi?
Nasikia ukiteuliwa kamanda wa mbio za mwenge umeula sanaa hehehe
Walioona picha ya ndege wamepatia kitendawili hiki. Nwashukuruni wote walioshiriki chemsha bongo hii.
Kila la heri na zawadi yenu ni kuwapigia makofi pwa pwa pwa pwa pwa! Mbarikiwe kwa umakini wenu.
nillichogundua Huyu jamaa alieshiKA Mwenge ni kama Mhuni furani jinsi alivyovaa kofia inaonyesha Mwenge umebaki kuwa ni sehemu ya watu kuganga njaa tu.Bado kitendawili hakijateguliwa kwani nilichotaka kigunduliwe hakijagunduliwa.