AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,647
- 4,753
Mimi nimegundua moja la ajabu sana ila ni ukweli bikra inayotolewa bila ndoa huondoa aibu(haaya) ya asili aliyonayo mwanamke yaani hata anaweza akavua mbele za watu na wala asione shida wala tatizo na ile inayoondolewa kwenye ndoa halali mwanamke hubaki na aibu yake ya asili kabisa wala haipotezi na huyu ndiye muumba aliyetutaka tusizini...ametuumba hivyo na katuwekea sheria..sisi tunaona kakosea tunazivunja sheria zake.
jitunzeni wadada...
sent using jamii forums mobile app
jitunzeni wadada...
sent using jamii forums mobile app