Umefanana sura na baba au mama?

Umefanana sura na baba au mama?

Hivyo wanaokufahamunawanao mfahamu baba yako watasema umepata taswira ya baba na si kusema una sura ya kiume. Maana kuna uwezekano kuwa taswira yake imefanana mno bibi yako ambaye ni mama yake. Wengine husema umefanana na bibi yako.

Lakini pia yaweza kuwa taswira ya baba yako imefanana mno na baba yake ambaye ni bibi yako, yote ni heri. Hakuna sura ngumu wala sura ya kiume.

Msalimu sana baba mumu.
sawa atasikia baba mumu,..pia nilisahau kusema nimefanana sana na shangazi zangu ambao copiraiti na babangu,...
 
Afadhali uambiwe umefananana mama au baba yako. Shida ni pale unapoanza kuambiwa umefanana na mjomba ake babu yako mzaa bibi!
 
sawa atasikia baba mumu,..pia nilisahau kusema nimefanana sana na shangazi zangu ambao copiraiti na babangu,...

Hii.maana yake, waliozaliwa tumbo moja na baba yako yaani shangazi na baba wakubwa kwa wadogo wana damu kali mnoo, wamefanana. Huwezi potea maana taswira ni utambulisho pia, hongera mno hadi nakuonea raha.
 
akhsante..
 
Afadhali uambiwe umefananana mama au baba yako. Shida ni pale unapoanza kuambiwa umefanana na mjomba ake babu yako mzaa bibi!

Aahahahahahahaa looh RRONDO sijui umewaza nini looh eehehehehehehehehheheheeeee.

Hapo yanahitajika maelezo marefu au bora yasiwepo kabisa.
 
old-man-with-his-grand-son-on-his-back.jpg
 
Mbona hakuna waliofanana na houseboy, Baba wa jirani, mangi, dereva... etc
 
Daaah nikisimama na Mama huwezi uliza kitu tena....nikisimama na Baba ,utamuuliza Baba ,huyu nani ? .nahisi nisababu Sijaota ndevu ingawa namiaka over 30
 
mimi sijui niko wapi, sijafanana na mzee wala bi. mkubwa

cha ajabu kuna watoto wa ba mkubwa n mdg nimefanana nao sana, kuja upande wa ujombani binamu zangu nao nimefanana nao vile vile

maana niliwahi choma fensi wakamng'ang'ania binamu yangu hadi kituoni. nilipo pelekwa mimi walishangaa sana tunavyo fanana.

mie sijui niko upande gani, ila wazazi sifanani nao ila ndugu zao ndo sana.
 
Back
Top Bottom