Umefanana sura na baba au mama?

Umefanana sura na baba au mama?

Mi nimefanana na mimi

Aahahahahahahhahahahaaaa

Siku zote hukosi vituko babu, kiukweli nimekumiss mnoo.

Wiki ijayo ntakuwa daslamu japo ratiba imebana ila Rodizo itahusika.
 
Ukimuona babangu umemuona Sakayo na ukimuona Sakayo umemuona babangu!!
 
Back
Top Bottom