Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,847
- 7,014
Leo niko na issue ya kawaida tuu, tumezoea kusikia mti akisema mtu mwenyewe una sura ya baba au unajifanya mrembo huku sura ya baba. Au mtu anaambiwa na wenzie kwa kejeli, unatusumbua tuu hapa una sura ya mama na vitu kama hivyo.
Nimejiuliza tuu, sura ya kike ni ipi na ya kiume ni ipi? Au tumecremisha mwanaume ndo mbaya na mzuri ni mwanamke?
Kwa mtaani tujuavyo mtu au mtoto wa kiume akiambiwa unatuzingua wakati mtu mwenyewe sura ya mama maana yake ni mtu laini laini kazi ngumu haziwezi ila maneno mengi.
Kwa mtoto wa kike ndiyo unakuwa kejeri pia kuwa sura mbaya koz wanaume wengi sura za mbuzi