UMEELEWA NINI HAPO

Unaachana na mwanaume aliye enlight maisha yako unaenda kwa mwanaume ambaye unahisi ni sahihi kwako kumbe ndio anaenda kukuzima future yako. Hii inatokea pale mwanamke anapoacha mwenye mapenzi ya kweli na kwenda kwa mwanaume mwenye mali kwa kuhisi kule ndio atapata faraja na tulizo la nafsi
pia vice versa ts true ipo hivi.

mwanamke kama mshumaa.

mwanamke maskini atammaliza na kumfuja, bali mwenye pesa atamtunza na atadumu.

Mshumaa ili udumu muda mrefu unatakiwa kuzimwa na kuhifadhiwa ,lakin ukiachwa unawaka uatisha mapema.

ndio misemo hiii inahusika, NIMEGEUKA MSHUMAA KUWAANGAZIA WENZANGU HUKU NATEKETEA, Pia hapo utaona kuwa PESA NI SABUNI YA ROHO.
 
a157d29e8e3146412a09f74714d2cb0e.jpg


Unapowasha moto wenzio wanakuja kuuzima..........
 
Back
Top Bottom