UMEELEWA NINI HAPO

ngombelee

JF-Expert Member
Jun 6, 2014
376
285
a157d29e8e3146412a09f74714d2cb0e.jpg
 
Wanawake hukimbilia mpenzi mwenye Mali au pesa asiyeweza kukupa penzi ila asiye na kitu hukupa raha na furaha maishani
 
Unaachana na mwanaume aliye enlight maisha yako unaenda kwa mwanaume ambaye unahisi ni sahihi kwako kumbe ndio anaenda kukuzima future yako. Hii inatokea pale mwanamke anapoacha mwenye mapenzi ya kweli na kwenda kwa mwanaume mwenye mali kwa kuhisi kule ndio atapata faraja na tulizo la nafsi
 
Daaah anaezima hiyo light kwa huyo kigoli anakuja kwa mbwembwe(usafiri bado mitupio )
 
Daaah....hapo sina hakika kama ustawi wa Mshumaa ni kuwaka au kutowaka. Lakini, ili uendelee kuwa mshumaa wenye thamani ni lazima uwepo.

Ingawa napata maana kwamba, yule aliyekaa amemtumia tayari, na anamsababishia mateso tuu, sasa anajaribu kukimbia MADHARA aliyopata, na sasa anataka tulizo kwa kuzima hayo mateso ingawa hatakaa ayasahau asilani.

Funzo kubwa ni kuwa, mwanamke ameumbiwa UVUMILIVU. Wanaume kuna waharibifu na watunzaji ingawa wanategemeana.

Nimejaribu aiseee
 
Kama ni mtihani ungepata zero
 
Unaachana na mwanaume aliye enlight maisha yako unaenda kwa mwanaume ambaye unahisi ni sahihi kwako kumbe ndio anaenda kukuzima future yako. Hii inatokea pale mwanamke anapoacha mwenye mapenzi ya kweli na kwenda kwa mwanaume mwenye mali kwa kuhisi kule ndio atapata faraja na tulizo la nafsi
Uko sahihi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom