Umeelewa hii

Umeelewa hii

TECHMAN

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
2,649
Reaction score
1,128
Angalia kwa makini ni kinatokea hapa.

123.jpg
 
There are two things involved in this picture, can you mention them?

perfect2-620x.jpg
 
Yakwanza hao mashabiki wanakwepa huo mpira sijui ni wa tenis au golf

Yapili hao KE na Me wanapishana ila vivuli vyao vinaonekana kama wanataka kupeana denda!
 
kuna kitenesi kinataka kumpiga huyo mama hapo binti kakwepa
 
Kuna mpira wa gofu wanaukwepa hapo ndo maana wamekaza sura angalia vizuri hapo kwa mama aliyevaa shati la blue bahari utaona mpira wa gofu
simu ya tochi shida sana,ila wakikaza sura wanakuwa wabayaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom