...Ume mpendea nini...

...Ume mpendea nini...

Ha ha ha ha Hooooooo,
Hapana bhana, Kumnyima mtu kitu dhambi,na mfungo huu ndo kbsaaaa,
Ngoja nipige dua ili hyo zali la LIKE linidondokee.
Yeye hataki kutuma salamu?
Atusalimie basi hata wana ChitChat jamaniiiiiiiii






Suprise iz better than Promise
​
 
Ha ha ha ha Hooooooo,
Hapana bhana, Kumnyima mtu kitu dhambi,na mfungo huu ndo kbsaaaa,
Ngoja nipige dua ili hyo zali la LIKE linidondokee.
Yeye hataki kutuma salamu?
Atusalimie basi hata wana ChitChat jamaniiiiiiiii
Paw, njoo huku unaitwa. Uwe unakumbuka kuja kutusabahi huku chit chat from time to time bwana, ndio nini sasa kujifungia ofisini muda wote?
 
Last edited by a moderator:
Paw, njoo huku unaitwa. Uwe unakumbuka kuja kutusabahi huku chit chat from time to time bwana, ndio nini sasa kujifungia ofisini muda wote?

Yani nashukuru kumbe hata nawe umeliona hilo jambo.
AC sometime zinaumiza kifua!!!!!!!
Toka huku nje utupatiemo japo ki-salamu.
Huku nje kuna hatari.....!!!!
Watu tuko juu ya haya makitu ilimradi tukuone
 

Attachments

  • SAM_0223.JPG
    SAM_0223.JPG
    664.3 KB · Views: 24
Back
Top Bottom