...Ume mpendea nini...

mkakati wangu ni kuhakikisha St. Paka Mweusi anakumega iwe isiwe,usiniangushe lakini




Kama kungekuwa na mashindano ya post bora basi toka JF ianzishwe hii ndio post bora kuliko zote,komred nitajitahidi nisikuangushe kaka,na kwetu ni vitendo bila kuchelewa,ukiwa mvivu ni kosa kubwa,kusahau wajibu ni kosa kubwa kuzembea kazi ni kosa kubwa hata kutoa visingizio ni kosa kubwa.....
 
quote_icon.png
By Arabela

Me nimependa kila kitu kwko my hubby zebedayo. Je wewe
hee!!!! wifi yangu mimi! upoo!???
Nimekupenda ulivyo my wife...acha kbs umependelewa sanaa.
shkamooooo kaka!!
 
ha,ha,ha,ha,ha....usinivunje mbavu Madame B mi sitaki kucheka bwana nipo peke yangu hapa karabash naogopa watu wataniona chizi kucheka peke yangu.njoo basi upate moja au umefunga?

calabash bana....nami nipo hapa kaunta....wewe upo pande gani.....?
 
Last edited by a moderator:
calabash bana....nami nipo hapa kaunta....wewe upo pande gani.....?

oooh bibie mlimbwende Preta mi nshaondoka hapo maana nimeona nikizidisha fundo moja tu ntaumbuka,au nirudi kukusabah?
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom