...Ume mpendea nini...

Mshindwe na Mlegezwe,
Nitawageuza nyani mimi?
Au humjui kama baba yangu ni Dr Nanilii wa pale Mwananyamala?
Nitawatumia Popobawa hapo mlipo.

Kushindwa haiwezekani,kulegezwa itakuwa ngumu kidoooogo,kugeuzwa nyani hapo labda ufafanue au ulikuwa unamaanisha Nyani Ngabu,suala la baba wa mwananyamala wala siogopi mi ntakuitia mjomba wangu,ukimshinda huyo basi namwita babu yangu Lugalanzula,ukimleta popobawa nasema naye mi ndo shetani sasa sijui nyumba ya shetani popobawa anaingiaje subiri tu mfungo uishe mama tucheze baikoko asi utanifundisha eeh..
 
Last edited by a moderator:
He could make me laugh... ndio jibu langu. Salam zangu zimfikie Katastrofist popote pale alipo (PS: hausiki)

Haya bhana.
Pedeshee la kike Roulette nakati ya JF,mutu ya watu
Salamu zimefika.
Nisalimie Paw.
NAMNA HIYO UJUMBE KISHA SALAMU.
Hiyo Like ya 5000 nipe mie.
 
Last edited by a moderator:
Astaghafirulah (X3)! Mwezi mtukufu huu, tena mi mke wa watu, huoni aibu kunitamani?

Usishtuke mama kiswahili lugha yetu kutamani mtu anaweza kutamani hata kukuletea zawadi,au akakutamani kukusimulia hadithi,au akatamani akutane nawe,kama mi nilikuwa natamani nikuone tu usishtuke lakini mke wa mtu sawa eeehh..
 
Haya bhana.
Pedeshee la kike Roulette nakati ya JF,mutu ya watu
Salamu zimefika.
Nisalimie Paw.
NAMNA HIYO UJUMBE KISHA SALAMU.
Hiyo Like ya 5000 nipe mie.

Hahahaha, like kwa sababu umetoa ujumbe kisha salam? mbona na mimi nilifanya hivo hivo? haya subiri nione kama itakua yako. Paw mzima, bila shaka salam zimemfikia.
 
Kushindwa haiwezekani,kulegezwa itakuwa ngumu kidoooogo,kugeuzwa nyani hapo labda ufafanue au ulikuwa unamaanisha Nyani Ngabu,suala la baba wa mwananyamala wala siogopi mi ntakuitia mjomba wangu,ukimshinda huyo basi namwita babu yangu Lugalanzula,ukimleta popobawa nasema naye mi ndo shetani sasa sijui nyumba ya shetani popobawa anaingiaje subiri tu mfungo uishe mama tucheze baikoko asi utanifundisha eeh..

Mungu atakulaani,
Na mwaka huu utamsaka sana
Mchawi wako.
Dawa yako iko jikoni inachemka.

Hahahaha, like kwa sababu umetoa ujumbe kisha salam? mbona na mimi nilifanya hivo hivo? haya subiri nione kama itakua yako. Paw mzima, bila shaka salam zimemfikia.

Ha ha ha ha Hooooooo,
Hapana bhana, Kumnyima mtu kitu dhambi,na mfungo huu ndo kbsaaaa,
Ngoja nipige dua ili hyo zali la LIKE linidondokee.
Yeye hataki kutuma salamu?
Atusalimie basi hata wana ChitChat jamaniiiiiiiii
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Back
Top Bottom