Ume elewaje?

Nasikia Tv sets za kisasa zimefikia teknolojia ambapo ukimwona simba kwenye tv anaweza kuja live sebuleni, lakini hang'ati!
 
PakaJimmy mie ninaitaka hiyo TV set ili nikimwona afande Kova atokee live sebuleni nimchape vibao kwa kutuambia uongo kila mara polisi wanapoboronga.
Eee bana eee! mwaJ ,
Shida Kova mwenyewe anatumwa na mtu anayeitwa "MKUU"...Hana jinsi M'baba wa watu!
Kwa jinsi sura yako hiyo ilivyo, mimi ningetamani kukuona wewe, halafu utokee Live sebuleni...(kumbuka kuwa simba akitokea live hang'ati, na hivyo na wewe ukitokea sebuleni sitakung'ata)
 
Kaka Sam na wewe umeelewaje hapa?​
Graffiti-Illusions-34.jpg
 
PakaJimmy mie ninaitaka hiyo TV set ili nikimwona afande Kova atokee live sebuleni nimchape vibao kwa kutuambia uongo kila mara polisi wanapoboronga.


MwaJ umenifanya nionekane chizi huku ofisni maana nimeshtukia kichecho cha nguvu kinatoka!
Kha! mbavu zangu mie lol!:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
 
Nilichoelewa mimi ni kuwa hiyo ni Tv ya 3D HD ambayo ukiwa nayo kuna miwani maalimu unayotakiwa kuivaa kisha matukio yote unakuwa unayaona kama vile upo pamoja na hao wanaoyatenda,mfano kama wewe ni muoga unaweza kutoka mbio ukidhania simba anakukamata kumbe ni sehemu ya technology,Kwa sasa moja unaweza kuipata kwa 1800Euros lakini nadhani baada ya mwaka au miaka michache ijayo bei itashuka..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom