Ume elewaje?

3dstreetart15.jpg
 
Eee bana eee! mwaJ ,
Shida Kova mwenyewe anatumwa na mtu anayeitwa "MKUU"...Hana jinsi M'baba wa watu!
Kwa jinsi sura yako hiyo ilivyo, mimi ningetamani kukuona wewe, halafu utokee Live sebuleni...(kumbuka kuwa simba akitokea live hang'ati, na hivyo na wewe ukitokea sebuleni sitakung'ata)

Ha ha ha haaaaaaaaaaa! Hata mie sitakung'ata!
 
MwaJ umenifanya nionekane chizi huku ofisni maana nimeshtukia kichecho cha nguvu kinatoka!
Kha! mbavu zangu mie lol!:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:

Unajua nini BornTown wakati naandika nilikuwa namaanisha kweli maana nina hasira na Kova tangu issue ya Dr. Ulimboka itokee plus mambo mengine yanayofanywa na polisi kabla ya hiyo issue. Sasa baada ya kujisoma ndio na mie nimejikuta nacheka peke yangu.

Ila picha za leo ni nzuri sana mpaka nimetamani nianze kujifunza upya fine art. Dotworld asante kwa huu uzi. Picha zinamfanya mtu afikiri.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom