Kwenye ukoo wetu kuna haka katabia sana,bibi yangu mzaa mama alikua anawapends wajukuu wawili tu wa mwanae mwenye uwezo yaan ndio walikua wajukuu anasema hawa watanijengea nyumba ,hawa watanilea,leo wako wapii analelewa na ambao alikua hawathamini,wale aliowpenda hata kumi hawamtumii wala kumjulia hali1.Inaumiza kisaikolojia, mtoto anajihisi hana thamani, hapendwi wala hajaliwi. Na hiyo mentality inaweza kumuaffect hadi uzeeni, atajiona ni worthless tu
2. Inajenga uadui kati ya watoto as wanaona mwenzao kama ndo anapendelewa
3. Inaweza ikawa motisha kwa wale waliosemwa kuwa hawawezi, wakajituma kwa bidii ili kuwaprove wrong wale waliowanenea mabaya
All in all, ni dhambi na sio sahihi kuwanenea watoto mambo mabaya, maneno huumba. Mzazo/mlezi anapaswa kuongea maneno ya kumbariki mtoto, so far hakuna ajuaye kesho ya mtu itakuwaje, na msaada sio fedha pekee. Pale utakapoumwa afu wenye hela wanatuma tu mahela, ila asiye Na hela ndo anakubadilisha nepi, kukulisha na kukuogesha, possibly ndo utajua thamani yake. Speak life/blessings to your children
Kuna mtu humu alileta story jinsi ambayo mama yake alikuwa anambagua, na kuwapendelea wadogo zake kisa hakuwa na hela nyingi. Kuna kipindi mama yao aliumwa hoi, wale wadogo walikuwa busy kutuma hela, but mama alihitaji mtu wa kumcare zaidi coz I think alikuwa mgonjwa wa kumalizia kila kitu kitandani, na huyo binti yake mkubwa ndo alimuogesha, kumlisha na kila kitu, ndo yule mama kujua oooh kumbe msaada sio pesa peke yake, akamuheshimu huyu zaidiKwenye ukoo wetu kuna haka katabia sana,bibi yangu mzaa mama alikua anawapends wajukuu wawili tu wa mwanae mwenye uwezo yaan ndio walikua wajukuu anasema hawa watanijengea nyumba ,hawa watanilea,leo wako wapii analelewa na ambao alikua hawathamini,wale aliowpenda hata kumi hawamtumii wala kumjulia hali
Aiseeee1.Inaumiza kisaikolojia, mtoto anajihisi hana thamani, hapendwi wala hajaliwi. Na hiyo mentality inaweza kumuaffect hadi uzeeni, atajiona ni worthless tu
2. Inajenga uadui kati ya watoto as wanaona mwenzao kama ndo anapendelewa
3. Inaweza ikawa motisha kwa wale waliosemwa kuwa hawawezi, wakajituma kwa bidii ili kuwaprove wrong wale waliowanenea mabaya
All in all, ni dhambi na sio sahihi kuwanenea watoto mambo mabaya, maneno huumba. Mzazo/mlezi anapaswa kuongea maneno ya kumbariki mtoto, so far hakuna ajuaye kesho ya mtu itakuwaje, na msaada sio fedha pekee. Pale utakapoumwa afu wenye hela wanatuma tu mahela, ila asiye Na hela ndo anakubadilisha nepi, kukulisha na kukuogesha, possibly ndo utajua thamani yake. Speak life/blessings to your children
Amen, namshukuru Mungu kwa neema ya maarifa haya na kila kituAiseeee
Wewe binti Mimi huwa nikikuta umecomment kwenye mada fulani huwa kazi yangu ni kusoma mchango wako kwa ufasaha na kutoa like....huwa nakosa cha kuchangia.... ubarikiwe sana kwa kichwa kizuri cha kufyatua point...
...na mdogo wangu anajiandaa Dec tunaleta mahari, ujuwe bwana lazima kuchanganya hizi DNA la sivyo unashangaa mwisho wa term mtoto anazungusha..hahaha..kidding!!Amen, namshukuru Mungu kwa neema ya maarifa haya na kila kitu
Yani ni kma unanizungumzia mimi napitia haya kabisa na inaumiza sanaKuna mtu humu alileta story jinsi ambayo mama yake alikuwa anambagua, na kuwapendelea wadogo zake kisa hakuwa na hela nyingi. Kuna kipindi mama yao aliumwa hoi, wale wadogo walikuwa busy kutuma hela, but mama alihitaji mtu wa kumcare zaidi coz I think alikuwa mgonjwa wa kumalizia kila kitu kitandani, na huyo binti yake mkubwa ndo alimuogesha, kumlisha na kila kitu, ndo yule mama kujua oooh kumbe msaada sio pesa peke yake, akamuheshimu huyu zaidi
Hata baadhi ya ndugu watakutreat kutokana na uwezo wa wazazi wako. Wewe ukisema unaenda utakuta tu ugali, wale wa ushuani wakisema wanaenda sio kwa mikuku watakayokuta, na treatment watakayopewa ni tofauti na Wewe kabisaaa. Wewe kazi utafanya hadi ukome, wenzako akhuuu
Umenena yote yani hii hali omba isikukute unaweza tamani ujichimbie shimo ujifukie inauma Sana ni jana tu nimetoka kuambiwa nazeekea nyumbni sina Msaada wakati alipoumwa mimi ndo nlifua kila kitu kumuogesha mtoto wake anayemuona wa kumsaidia alikuwa na kinyaa hta kutupa pampers haya mambo yasikie tu kwakweli umenigusa Sana1.Inaumiza kisaikolojia, mtoto anajihisi hana thamani, hapendwi wala hajaliwi. Na hiyo mentality inaweza kumuaffect hadi uzeeni, atajiona ni worthless tu
2. Inajenga uadui kati ya watoto as wanaona mwenzao kama ndo anapendelewa
3. Inaweza ikawa motisha kwa wale waliosemwa kuwa hawawezi, wakajituma kwa bidii ili kuwaprove wrong wale waliowanenea mabaya
All in all, ni dhambi na sio sahihi kuwanenea watoto mambo mabaya, maneno huumba. Mzazo/mlezi anapaswa kuongea maneno ya kumbariki mtoto, so far hakuna ajuaye kesho ya mtu itakuwaje, na msaada sio fedha pekee. Pale utakapoumwa afu wenye hela wanatuma tu mahela, ila asiye Na hela ndo anakubadilisha nepi, kukulisha na kukuogesha, possibly ndo utajua thamani yake. Speak life/blessings to your children
Haha hadi Dec hela za matikiti zitakuwa hazijaisha kweli?...na mdogo wangu anajiandaa Dec tunaleta mahari, ujuwe bwana lazima kuchanganya hizi DNA la sivyo unashangaa mwisho wa term mtoto anazungusha..hahaha..kidding!!
Mpenzi wangu inaumiza kweli, ila hata usijali. Thamani ya mtu sometimes inaonekana asipokuwepo, hata usimuwekee kinyongo kabisaaa. Time ni the best teacher ever. Mungu atakusaidia, utaondoka hapo home utakuwa na kwako, na atabaki kusema "Ninge. ....."Yani ni kma unanizungumzia mimi napitia haya kabisa na inaumiza sana
Umenena yote yani hii hali omba isikukute unaweza tamani ujichimbie shimo ujifukie inauma Sana ni jana tu nimetoka kuambiwa nazeekea nyumbni sina Msaada wakati alipoumwa mimi ndo nlifua kila kitu kumuogesha mtoto wake anayemuona wa kumsaidia alikuwa na kinyaa hta kutupa pampers haya mambo yasikie tu kwakweli umenigusa Sana
Usijali, anatumia technic ya;Haha hadi Dec hela za matikiti zitakuwa hazijaisha kweli?
Mamaaa, mbona kama mnachelewa kuja sasaUsijali, anatumia technic ya;
10% zaka na sadaka
40% savings
5% dharura.
30% kwa ajili yako..teh teh!
15% misosi yake hadi hapo mtakapokuwa mwili mmoja
hiii ina aply uchagani zaidi. we should all change our behaviour.Kuna mtu humu alileta story jinsi ambayo mama yake alikuwa anambagua, na kuwapendelea wadogo zake kisa hakuwa na hela nyingi. Kuna kipindi mama yao aliumwa hoi, wale wadogo walikuwa busy kutuma hela, but mama alihitaji mtu wa kumcare zaidi coz I think alikuwa mgonjwa wa kumalizia kila kitu kitandani, na huyo binti yake mkubwa ndo alimuogesha, kumlisha na kila kitu, ndo yule mama kujua oooh kumbe msaada sio pesa peke yake, akamuheshimu huyu zaidi
Hata baadhi ya ndugu watakutreat kutokana na uwezo wa wazazi wako. Wewe ukisema unaenda utakuta tu ugali, wale wa ushuani wakisema wanaenda sio kwa mikuku watakayokuta, na treatment watakayopewa ni tofauti na Wewe kabisaaa. Wewe kazi utafanya hadi ukome, wenzako akhuuu
tena waweza ambiwa shikamoo na wazee. cjui wanawaza nini jamani.Haya mambo yapo sans kwenye ukoo ukiwa na pesa unathaminiwa kweli
You're right kabisa, familia nyingi wazazi wanawabagua watoto wao, tena kwa vipato na uwezo!mmhh!kila familia yapo hayo