Umbwe Secondary yafungwa sababu za udini

Umbwe Secondary yafungwa sababu za udini

Status
Not open for further replies.
Dah nimexoma pale pia advanc and hapakuw na udini dat tym...wanampa sheeda baba Lymo
 
Samahani mkuu hivi hakuna wanaompa malalamiko yakamfikia? Iwe kwa njia ya wawakilishi au kitu kama hicho?

Naomba msaada hapa, inaelekea wewe uko vizuri

Hata kama yanamfikia, yule jamaa ana uswahili mwingi sana ndio maana alikuwa akiwatumia viongozi wa dini wampigie kampeni. Haiwezekani mpaka leo lile tukio la arusha kanisani hakuna mtu aliyechukuliwa hatua yoyote!! Ni kwa sababu ni watu wa jamii yake.
 
Mkuu tuvumilie kama kuna uhai 2015 sio mbali, unaonaje best wangu?
 
Shule ya Ubwe si ni ya Kanisa?

ni shule ya serikali ni umbwe si ubwe.one of the best school in tanzania nilipita o-level wachaa katika maisha yangu ya shule furaha niliipata pale mtisafi.kibosho umbwe
 
It doesnt make sense shule ilikuwa ya dini imekuwaje kuna mvutano wa kidini???kuna kitu hakijakaa sawa katika uongozi wa shule.!
 
tatizo linajulikana bt government haitaki kusolve....!

imeshanitokea ndanda boys high school (form5) inshu kama hii.

hawa wenzetu ni shida kila kitu wanaonewaa...!
 
mti safi...hivi lobilo,protas na mallya wapo bado
 
Mie nilisoma hapo wakristo wana kanisa kwa kuwa ilikuwa ya kanisa na waislamu wana msikiti wao.
Huu udini umetoka wapi wakati busara ilitumika pawaka na msikiti au wivu?
 
ni shule ya serikali ni umbwe si ubwe.one of the best school in tanzania nilipita o-level wachaa katika maisha yangu ya shule furaha niliipata pale mtisafi.kibosho umbwe

hata mie nilipita hapo 2000-2003 hakuna shule niliyoifurahia kama hiyo enzi za msele na makange nidhamu malya
 
Samahani mkuu hivi hakuna wanaompa malalamiko yakamfikia? Iwe kwa njia ya wawakilishi au kitu kama hicho?

Naomba msaada hapa, inaelekea wewe uko vizuri

Ikulu hata ukiandika juu ya barua "Jakaya Mrisho Kikwete" bila kuongezea "Rais wa jamhuri ya Mungano wa Tanzani" barua inafunguliwa na kuyeyushwa.
 
hata mie nilipita hapo
2000-2003 hakuna shule niliyoifurahia kama hiyo enzi za msele na
makange nidhamu malya

pamoja mkuu nilikua napenda sana wana umbwe tukafahamiana na kukutana tunaweza fanya kitu kwa shule yetu.
 
kama kuna shida ya dini imetokea wachunguze vizuri maana tuliishi christians na muslims vizuri sana that times.
 
Wagalatiya huwa wanataka wenzao wafate mila zao naicho hakiwezekani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom