Umbumbumbu wa Watanzania washio Ughaibuni

blackgold engineer

Senior Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
107
Reaction score
70
Watanzania wengi washio ughaibuni yaani ulaya na marekani na hasa wale ambao hawajuri Tanzania kwa muda mrefu,,bado wanaushamba ule wa kizamani wakihisi kua vitu wanavyojua wao au kuanavyo wao eti watu waliooko huku Tanzania hawavifahau,,huo ni ulimbukeni wa hali ya juu,,kumbe hawajui kua Tanzania siku hizi watu wamepiga hatua na wanaishi maisha bora sana kuliko wao,,utakuta mtu kasoma kule nje anafanya kazi katika migahawa ya chakula na anakaa katika kachumba kamoja kanachomnyonya kulipia bills,wakati bongo watu wanaishi katika majumba ya kifahari na ardhi ya kutosha full kujiachia,,wengine wamebaki huko kwa kukosa nauli za kuja hata kutembea bongo,,eti utamsikia mtu anatoa sababu eti anaogopa kuombwa hela akija bongo?? NANI AKUOMBE HELA ZAKO ZA MAWAZO UNAZOZIPATA KWA KUKOSA USINGIZI,,HUKU BONGO WATU WANAHELA NA WANAISHI MAISHA ZAIDI YENU HUKO UGAIBUNI,,HACHENI MAWAZO FINYU MKO NYUMA SANA KAMA HAMJUI..
 
We fw ala saaaaana tena saaana maisha gani mazuri ya kibongo unayosema walioko ughaibuni Hawajaishi.maisha unayosema ww mazuri hapo watu waliishi kabla hawajaenda ulaya.
Pole sana kwa kuja mjini juzi.maisha mazuri hapo bila usalama?
Maleria kibao ukienda hospital doctor kagoma.
ukiandikiwa dawa unauziwa feki pharmacy
Huku bado tindikali inakungoja.
vibaka na majambazi kila kona.
kazini ukicheka na demu wa bosi kidogo tu kesho huna kazi.
Wanga nao wanajipanga wakukabe usiku au wakulimishe kisa umenunua gari jipya unawasumbua mtaani.
kijini kwenu shangazizako nao wanapanga wakutoe kafara kisa kwanini una maendeleo.
mkeo nae kutwa kwA waganga akufanye chuma ulete.
huku vijana mtaani wanamgegeda we ukiwa unamenyeka job.
kijiji kizima kinataka kuhamia kwako kisa umepandishwa cheo.
hayo ni baadhi tu yamefanya tumekimbia hapo.WE unaridhiiiika na maisha ya kula kitimoto na ugali
Wenzio tunaangalia kuishi muda mrefu na kupata vyote kwa pamoja.

TARUDI NA MENGINE
 
pole sana kwa kukugusa,,kabebe box,,kalinde usiku na asubuhi kaoshe vyombo mcdonalds,,mnaona aibu kuja hata bongo kwani mpo nyuma sana..
 
We fw ala saaaaana tena saaana maisha gani mazuri ya kibongo unayosema walioko ughaibuni Hawajaishi.maisha unayosema ww mazuri hapo watu waliishi kabla hawajaenda ulaya.
Pole sana kwa kuja mjini juzi.maisha mazuri hapo bila usalama?
Maleria kibao ukienda hospital doctor kagoma.
ukiandikiwa dawa unauziwa feki pharmacy
Huku bado tindikali inakungoja.
vibaka na majambazi kila kona.
kazini ukicheka na demu wa bosi kidogo tu kesho huna kazi.
Wanga nao wanajipanga wakukabe usiku au wakulimishe kisa umenunua gari jipya unawasumbua mtaani.
kijini kwenu shangazizako nao wanapanga wakutoe kafara kisa kwanini una maendeleo.
mkeo nae kutwa kwA waganga akufanye chuma ulete.
huku vijana mtaani wanamgegeda we ukiwa unamenyeka job.
kijiji kizima kinataka kuhamia kwako kisa umepandishwa cheo.
hayo ni baadhi tu yamefanya tumekimbia hapo.WE unaridhiiiika na maisha ya kula kitimoto na ugali
Wenzio tunaangalia kuishi muda mrefu na kupata vyote kwa pamoja.

TARUDI NA MENGINE

hapa umechemsha,inawezekana wewe ulizungukwa na haya matatizo hapa bongo,sioni hata moja linalonigusa hapa naamini na wengine pia.una wrong perception kwa watanzania ila kama ndo ukweli wa nyumbani kwenu pole sana. Na pengine pia hao waliozungumziwa na mtoa mada wewe sio mmojawapo,hongera.
 
We fw ala saaaaana tena saaana maisha gani mazuri ya kibongo unayosema walioko ughaibuni Hawajaishi.maisha unayosema ww mazuri hapo watu waliishi kabla hawajaenda ulaya.
Pole sana kwa kuja mjini juzi.maisha mazuri hapo bila usalama?
Maleria kibao ukienda hospital doctor kagoma.
ukiandikiwa dawa unauziwa feki pharmacy
Huku bado tindikali inakungoja.
vibaka na majambazi kila kona.
kazini ukicheka na demu wa bosi kidogo tu kesho huna kazi.
Wanga nao wanajipanga wakukabe usiku au wakulimishe kisa umenunua gari jipya unawasumbua mtaani.
kijini kwenu shangazizako nao wanapanga wakutoe kafara kisa kwanini una maendeleo.
mkeo nae kutwa kwA waganga akufanye chuma ulete.
huku vijana mtaani wanamgegeda we ukiwa unamenyeka job.
kijiji kizima kinataka kuhamia kwako kisa umepandishwa cheo.
hayo ni baadhi tu yamefanya tumekimbia hapo.WE unaridhiiiika na maisha ya kula kitimoto na ugali
Wenzio tunaangalia kuishi muda mrefu na kupata vyote kwa pamoja.

TARUDI NA MENGINE

wewe wa zaman sana_mwenzako ivo ivo yupo UK bas akawa na hisia kama zako kuwa huku ivi mara vile_anatutumia picha za magar mabovu na friji eti atununulie , mara Iphone 3S_mara pentium 1_kudadadek akajichanganya akaja_tulimchapaje mpaka akajuta kuja_tumempokea kwa MIPRADO akadhan tumekodi, mbona aliuza sim yake kwa aibu akanunua Galaxy S4 huku huku, kwa kumkoga nikamwambia mtoto wangu ndo anasoma ulaya mim sitaki hata kupasikia huko_nadhan alijutia kuja
 
NANI AKUOMBE HELA ZAKO ZA MAWAZO UNAZOZIPATA KWA KUKOSA USINGIZI,,HUKU BONGO WATU WANAHELA NA WANAISHI MAISHA ZAIDI YENU HUKO UGAIBUNI,,HACHENI MAWAZO FINYU MKO NYUMA SANA KAMA HAMJUI..
Ulaya ni Ulaya tu... Wacha kutokwa mapovu!
 
kama kweli bongo pangekuwa pouwa ki hivyo kikwete asingekuwa anapiga maruti kila siku kukimbilia huko, yaani mtu anayechota maji kwa kijiko kwenye kiji mfereji anamtambia aliyeko kisimani,aliyeko chini ya mti naye anamringia aliyeko juu ya mti kuwa huku chini ndiyo kuna matunda safi huku akiendelea kumtegemea aliyeko juu amdondoshee mengine,kaazi kweli kweli.
 
si ndio hapo MKWE RE anawakoga tu akisikia joto limezidi anakula pipa huyoooo mamtoni kupata baridi kidogo.wao kazi yao kuimba nambari wani nambari wani ccm baada ya kuvimbishwa pilau
miprado mnanunua kwa hela za wizi.risk ya kufukuzwa kazi au kampuni kufilisika kwa ajili ya wizi wenu nani anataka.
ndo maana nasema wote mnaodai mnakula maisha bongo mmeingia juzi huo wizi wenzenu tumefanya saaaana hapo kabla,na kubadilisha vituo vya kazi karibia vyoote bongo.
kalaghabaho
 
Hauko vizuri sana katika kufikiri,huo uzi wako unaelea angani
 
We fw ala saaaaana tena saaana maisha gani mazuri ya kibongo unayosema walioko ughaibuni Hawajaishi.maisha unayosema ww mazuri hapo watu waliishi kabla hawajaenda ulaya.
Pole sana kwa kuja mjini juzi.maisha mazuri hapo bila usalama?
Maleria kibao ukienda hospital doctor kagoma.
ukiandikiwa dawa unauziwa feki pharmacy
Huku bado tindikali inakungoja.
vibaka na majambazi kila kona.
kazini ukicheka na demu wa bosi kidogo tu kesho huna kazi.
Wanga nao wanajipanga wakukabe usiku au wakulimishe kisa umenunua gari jipya unawasumbua mtaani.
kijini kwenu shangazizako nao wanapanga wakutoe kafara kisa kwanini una maendeleo.
mkeo nae kutwa kwA waganga akufanye chuma ulete.
huku vijana mtaani wanamgegeda we ukiwa unamenyeka job.
kijiji kizima kinataka kuhamia kwako kisa umepandishwa cheo.
hayo ni baadhi tu yamefanya tumekimbia hapo.WE unaridhiiiika na maisha ya kula kitimoto na ugali
Wenzio tunaangalia kuishi muda mrefu na kupata vyote kwa pamoja.

TARUDI NA MENGINE

Unaishi nchi gani mjomba?
 
si ndio hapo MKWE RE anawakoga tu akisikia joto limezidi anakula pipa huyoooo mamtoni kupata baridi kidogo.wao kazi yao kuimba nambari wani nambari wani ccm baada ya kuvimbishwa pilau
miprado mnanunua kwa hela za wizi.risk ya kufukuzwa kazi au kampuni kufilisika kwa ajili ya wizi wenu nani anataka.
ndo maana nasema wote mnaodai mnakula maisha bongo mmeingia juzi huo wizi wenzenu tumefanya saaaana hapo kabla,na kubadilisha vituo vya kazi karibia vyoote bongo.
kalaghabaho

Unaishi nchi gani ?
 
We fw ala saaaaana tena saaana maisha gani mazuri ya kibongo unayosema walioko ughaibuni Hawajaishi.maisha unayosema ww mazuri hapo watu waliishi kabla hawajaenda ulaya.
Pole sana kwa kuja mjini juzi.maisha mazuri hapo bila usalama?
Maleria kibao ukienda hospital doctor kagoma.
ukiandikiwa dawa unauziwa feki pharmacy
Huku bado tindikali inakungoja.
vibaka na majambazi kila kona.
kazini ukicheka na demu wa bosi kidogo tu kesho huna kazi.
Wanga nao wanajipanga wakukabe usiku au wakulimishe kisa umenunua gari jipya unawasumbua mtaani.
kijini kwenu shangazizako nao wanapanga wakutoe kafara kisa kwanini una maendeleo.
mkeo nae kutwa kwA waganga akufanye chuma ulete.
huku vijana mtaani wanamgegeda we ukiwa unamenyeka job.
kijiji kizima kinataka kuhamia kwako kisa umepandishwa cheo.
hayo ni baadhi tu yamefanya tumekimbia hapo.WE unaridhiiiika na maisha ya kula kitimoto na ugali
Wenzio tunaangalia kuishi muda mrefu na kupata vyote kwa pamoja.

TARUDI NA MENGINE

Hehehe......pamoja saana!!
 
Yaan wa bongo ni watu wa ajabu kweli hata kutengeneza pini iende soko la dunia hawawez juzi wamenusurika kuwa mashoga ili wapewe misaada leo mwenzao anajitapa eti kuna maisha mazur kwel mwenye macho aambiwi tazama
 
Jamani wadau,naombeni kama kuna mtu anajua au ana namba za Mh.RAIS na Mh.Mizengo pinda anitumie plz ni muhimu nahtaji kuongea nao.
 
Back
Top Bottom