Umbumbumbu wa Watanzania washio Ughaibuni

Umbumbumbu wa Watanzania washio Ughaibuni

Umenikumbusha wale ambao wapo Marekan-kipindi cha Mwiguru,eti anasema baada ya Mwiguru kuutubia huko Marekan akasema kumbe yale yote huku Nyumbani ni ya Uongo
 
Watanzania wengi washio ughaibuni yaani ulaya na marekani na hasa wale ambao hawajuri Tanzania kwa muda mrefu,,bado wanaushamba ule wa kizamani wakihisi kua vitu wanavyojua wao au kuanavyo wao eti watu waliooko huku Tanzania hawavifahau,,huo ni ulimbukeni wa hali ya juu,,kumbe hawajui kua Tanzania siku hizi watu wamepiga hatua na wanaishi maisha bora sana kuliko wao,,utakuta mtu kasoma kule nje anafanya kazi katika migahawa ya chakula na anakaa katika kachumba kamoja kanachomnyonya kulipia bills,wakati bongo watu wanaishi katika majumba ya kifahari na ardhi ya kutosha full kujiachia,,wengine wamebaki huko kwa kukosa nauli za kuja hata kutembea bongo,,eti utamsikia mtu anatoa sababu eti anaogopa kuombwa hela akija bongo?? NANI AKUOMBE HELA ZAKO ZA MAWAZO UNAZOZIPATA KWA KUKOSA USINGIZI,,HUKU BONGO WATU WANAHELA NA WANAISHI MAISHA ZAIDI YENU HUKO UGAIBUNI,,HACHENI MAWAZO FINYU MKO NYUMA SANA KAMA HAMJUI..

Mkuu pole pole.....una ndugu yako huko unayemlenga ama? Kumbuka Marekani (si Ulaya) ukiwa umesoma na una degree ya nguvu unaishi maisha ya kifahari na yasiyo na stress kuliko hapa Tanzania. Hapa Tanzania mtu umesoma then boss wako anakuwa mtu kama Mulugo wakati he has nothing kichwani. Kingine, kumbuka pia hapa Tanzania ni watanzania wachache sana wenye maisha mazuri na then ni wale waliojiingiza kwenye biashara ya unga na baadhi ya waliobahatika kupata vyeo kwenye taasisi za serikali. Wewe kama umebahatika na kazi, hongera ila kumbuka kuna wenzio wengi tu tena wamesoma mpaka chuo kikuu hawana kazi na wanalia kila kukicha. Marekani huwezi kusoma na ukawa na degree unakaa benchi kwani kuna nyanja nyingi za kupata kazi zingine.
 
Sijawahi kwenda huko Ulaya mwenzenu japo nasikiaga pazuri ila yote ni maisha kama wote mnakojoa na kunya potelea potea
 
Aliyetoa hii mada nigemuuliza amewahi ishi ulaya au marekani na kulinganisha na Tanzania? Au ndio anaandika tuu mada kwa kusikia kwenye TV na kwa story za mtaani? Kwanza ningependa kumuelimisha; watanzania young bloods wa sasa walioelimika wanaishi ulaya kwa strategy. Wanafuata paths zinazotolewa under European Union Intergration Process; recruiting capable foreigners into work force program hizi zipo na well funded..wanafundisha work culture; languages na interships za kutosha na unalipwa unavyohudhuria, sababu kubwa wanafanya hivyo hawataki mizigo ya kuwalisha na kuwalipa unemployment benefits za bure. Na ni kweli hizi programs ni successfull. Wanaofagia wengi ni wale ambao mambo yao hayako sawa; labda hawana vibali vya kuishi au hawana upeo. Maana ulaya ukweli ni kuwa huambiwi nini cha kufanya; ni wewe mwenyewe ufanye research na fall up. Sioni disadvantage ya kuishi inchi ambayo huwazi nitapata wapi hela ya kula; ada ya watoto; matibabu ya watoto; kodi ya nyumba; hela kulipa bills kama huna kazi; all these organised...na ukiwa na kazi unalipia hizi huduma in a certain percentage.Advantage ni nyingi ila disadvantage ni ile Nyumbani ni nyumbani hata pakiwa pabaya..
 
Bongo kuna ugumu wake na uzuri wake pia,the same applies to huko mbele mbele plus maendeleo ni ya kiasi kikubwa sana ukilinganisha na hapa kwetu . Pamoja na hayo the last time I checked Bongo ndio home...
 
Aliyetoa hii mada nigemuuliza amewahi ishi ulaya au marekani na kulinganisha na Tanzania? Au ndio anaandika tuu mada kwa kusikia kwenye TV na kwa story za mtaani? Kwanza ningependa kumuelimisha; watanzania young bloods wa sasa walioelimika wanaishi ulaya kwa strategy. Wanafuata paths zinazotolewa under European Union Intergration Process; recruiting capable foreigners into work force program hizi zipo na well funded..wanafundisha work culture; languages na interships za kutosha na unalipwa unavyohudhuria, sababu kubwa wanafanya hivyo hawataki mizigo ya kuwalisha na kuwalipa unemployment benefits za bure. Na ni kweli hizi programs ni successfull. Wanaofagia wengi ni wale ambao mambo yao hayako sawa; labda hawana vibali vya kuishi au hawana upeo. Maana ulaya ukweli ni kuwa huambiwi nini cha kufanya; ni wewe mwenyewe ufanye research na fall up. Sioni disadvantage ya kuishi inchi ambayo huwazi nitapata wapi hela ya kula; ada ya watoto; matibabu ya watoto; kodi ya nyumba; hela kulipa bills kama huna kazi; all these organised...na ukiwa na kazi unalipia hizi huduma in a certain percentage.Advantage ni nyingi ila disadvantage ni ile Nyumbani ni nyumbani hata pakiwa pabaya..

Mkuu kumbe hii post bado ipo? nimemwelewa huyo mtoa mada mapema mno,either ni maneno ya mkosaji,au chuki binafsi ndiyo inayomsumbua,mfano anasema jamaa yake sijui amefika bongo akaanza kushangaa !!mi prado!! Ooh mara akashangaa i phone!! Kweli???? Huyo mtu alitokea katikati ya amazon? Au kule kwa wale LOST TRIBE?kwa sababu ki ukweli kama huyo mshamba wao angekuwa hata anaishi naliendele ya huko US au UK basi katu asingeshangaa prado,kwanza flow ya information kwenye kona hiyo ya dunia ni easier mara mia kuliko Dar city centre, mtu aliyeishi lets say Nashville ya miaka hiyo pakiwa country side bado alikuwa na uwezo wa kupata taarifa ya kinachotokea m/nyamala kabla mtu wa gongo la mboto hajaelewa,mtanzania anayeishi US leo anaweza kukwambia hadi makusanyo ya TRA kwa siku ya jana yalikuwa kiasi gani,anaweza kujua bei ya kilo ya mtama kwenye soko la bahi, hivyo kama mtu huyo anaweza kuwa mshamba basi ni mshamba kwa level za ki US au ki UK, na siyo kwa level ya ki manzese kama unavyodhani wewe,ila jifariji,endelea kuamini kuwa wabongo wako juu kuliko wa marekani,na usiishie hapo tu! Ila pia amini kuwa wabongo waishio marekani wanategemea misaada kutoka bongo ili ku survive huko,amini chochote,amini kila kitu,kuamini ni haki yako.
 
wewe wa zaman sana_mwenzako ivo ivo yupo UK bas akawa na hisia kama zako kuwa huku ivi mara vile_anatutumia picha za magar mabovu na friji eti atununulie , mara Iphone 3S_mara pentium 1_kudadadek akajichanganya akaja_tulimchapaje mpaka akajuta kuja_tumempokea kwa MIPRADO akadhan tumekodi, mbona aliuza sim yake kwa aibu akanunua Galaxy S4 huku huku, kwa kumkoga nikamwambia mtoto wangu ndo anasoma ulaya mim sitaki hata kupasikia huko_nadhan alijutia kuja

hii inaitwa bakora ya mgongo
 
mie hata siwezi kuongelea chochote maana hata kenya yenyewe cpajui pakoje
 
ngoja nitafute mbeba box wa ukweli hapa
bongo jua sana mbele ni mbele tu hata mimi nikienda huko sirudi tena!
 
tatizo wabongo mna wivu sana na sis tuliopo mamtoni,poa mi bado nakula bata tu hapa Los angels nyie kuleni vumbi,mafoleni na mateja wawaibie tu!
 
Wewe ni mshamba shamba mnyama poriiiiii. Mimi siishi nje kwa sasa nipo bongo. Kilichonishangaza ni jinsi watanzani wengi mlivyo mbumbu wa kushindwa kuelewa jamii lazima ichanganyinge ili kuleta maendeleo halisi. Waishio ulaya ni vema wakaendelea kuwa huko kwani wakirudi bongo kuna mengi ya kujifunza toka kwao! Mi namsapoti kila mtanzania aliyeko nje ya nchi na ninashauri yeyote awezaye kwenda nje ya nchi na aende!!
 
Dah! Hata mimi sifahamu chochote kuhusiana na huko mbele, hivi, hizo kazi mnazosema sijui za kubeba mabox, kulinda n.k, zina malipo makubwa kuliko mtu anayefanya kazi za ofisini huku bongo? Kama kweli, basi hamna haja ya kung'ang'ania kuishi bongo wakati najua nikisha zichanga narudi nyumbani kufanya mambo makubwa na respect inakuwepo, tatizo la bongo mambo yanaenda vice versa
 
Kiranga na Nyani Ngabu will be here very soon, hii inawahusu.

huyo mwingine yuko busy na mijadala ya kujadili uwepo wa mungu.ila nnahakika lazima atatia maguu.hizo namba ukigusia interest zao lazima upigwe.ila usistuke wakija na story ooh mimi nafanya kazi wall street na chai kibao.
 
Dah! Hata mimi sifahamu chochote kuhusiana na huko mbele, hivi, hizo kazi mnazosema sijui za kubeba mabox, kulinda n.k, zina malipo makubwa kuliko mtu anayefanya kazi za ofisini huku bongo? Kama kweli, basi hamna haja ya kung'ang'ania kuishi bongo wakati najua nikisha zichanga narudi nyumbani kufanya mambo makubwa na respect inakuwepo, tatizo la bongo mambo yanaenda vice versa
hamna kazi ya ulinzi ulaya CCTV kibao mitaani nani alinde,kupiga kifagio na deki hapo kama kumsukuma mlevi
 
wewe wa zaman sana_mwenzako ivo ivo yupo UK bas akawa na hisia kama zako kuwa huku ivi mara vile_anatutumia picha za magar mabovu na friji eti atununulie , mara Iphone 3S_mara pentium 1_kudadadek akajichanganya akaja_tulimchapaje mpaka akajuta kuja_tumempokea kwa MIPRADO akadhan tumekodi, mbona aliuza sim yake kwa aibu akanunua Galaxy S4 huku huku, kwa kumkoga nikamwambia mtoto wangu ndo anasoma ulaya mim sitaki hata kupasikia huko_nadhan alijutia kuja

hii kamba inafunga hata zagamba na haliiikati
 
Back
Top Bottom