King' whay do u know?
Jamani ntakupa hela uniambie.
Duh, ishavujishwa tena.
Nitakuja na heshima haswa nasikia huko ukiwa mbea sana wakati wa kusutwa unaletewa na kadogori kabisa..Karibu na jalala. . alafu uje na heshima ehhh!!
Hahahahaaaa najua break ya kwanza ilikuwa ofisini kwa walimu na huyo mtu akatembezewa kichapo cha hatari. Msichana peke yake aliyewahi kunipeleka nikachapwa eti nimemchokoza akaja kuwa gf wangu wa utotoni. nilikuwa darasa la sitaHehehehe pamoja na udogo wangu wavulana walikua wananiogopa sembuse wasichana?
Mi sijawahi kuonewa aisee. . . kuna mvulana alijaribugi nikamfanya mfano, tangu siku hiyo sikuhitaji tena ulinzi wa dadaz, kakaz wala unclez.
Hahahahaaaa najua break ya kwanza ilikuwa ofisini kwa walimu na huyo mtu akatembezewa kichapo cha hatari. Msichana peke yake aliyewahi kunipeleka nikachapwa eti nimemchokoza akaja kuwa gf wangu wa utotoni. nilikuwa darasa la sita
Hahahahaaa nilijua tu ulikimbilia kwa ticha, tena yule uliyekuwa unamsaidia kuuza visheti na ice cream zake....Lol!Hahaha kwanza nilimpa kwenzi na jiwe la kichwa tena alikua amenyoa mzungu wa unga ndio nikamwendea kwa mwalimu. Lolz
Hahaha. . . mkaishia wapi sasa?
Kwa hiyo dera ndo vazi rasmi la msuto?
Hahahahaaa nilijua tu ulikimbilia kwa ticha, tena yule uliyekuwa unamsaidia kuuza visheti na ice cream zake....Lol!
Ah mapenzi yakapamba moto tukaanza kupeana na kadi zile za kufuta majina unaandika ya kwenu..........mi nilikuwa naiba za uncle wangu alizokuwa ametumiwana demu wake, ye alikuwa anaiba za nani yake sijui but it was fun asee
Welcome to my world,lol!
Mi sasa sifanyi umbea, nataka kuku-blackmail,lol!
And money is not involved..
Tulikuwa darasa la sitaHahaha niliona nimkomeshe maana nilivyompiga alikasirika akawa ananikimbiza, yani angenikamata angenigaragaza. Nikapaka mate machoni nikavuta kilio cha uongo huyoooo break ya pili ofisini.
Hehehe mlikua hamjatulia nyie. Darasa la ngapi hapo?
Hahahahaaa we acha tu, unajua shule za mjini zina vituko. Haya mi nataka hako kashkaji hakakukutishia mkikutana mtaani katakukong'oli?Kweli mlikua mnatisha.
Bora sie wa vijijini aisee. Hehehehe. .
Sijawahi wala sitegemei kusutwa! Sina muda wa kufuatilia mambo ya watu hivyo sio rahisi kukutana na umbea!
Hahahahaaa we acha tu, unajua shule za mjini zina vituko. Haya mi nataka hako kashkaji hakakukutishia mkikutana mtaani katakukong'oli?
Hiki kinafaa sana kuwa kibwagizo kwenye taarabu...Ndo maana nimekutahadharisha!!
Yani adabu mfukoni, maneno mdomoni.
Ngoja kwanza niwasiliane na bht alete majivu manake yanahusika pia...Afu bibie nna msuto wako ila inabidi wifi mkubwa awepo! Madira, skin taiti na ubwabwa wa iliki ntagharamia. Matarumbeta ya ODM yatahusika
Hahahaa basi na c uhusiano wetu uliisha tulipomaliza la 7 hata cjui yuko wapi ila hope shez stil in DarTangu siku hiyo aliniogopa sana. . sema sijamwona tangu tumalize darasa la saba. Ngoja nikienda kijiji ntajaribu kumtafuta tunywe hata soda.