Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,024
- 10,195
Yanga tangu mwaka Jana kwenye shirikisho mpaka hapa alipofika, watu walikuwa wanasema mwisho wake umekaribia alafu anapita, baadae lugha ikabadilika tena amekutana na timu ambazo hazipo katika kiwango kizuri kama nyuma.
Kwa issue sijui akipita watu watasemaje maana Mamelod wapo kwenye kiwango kizuri
Kwa issue sijui akipita watu watasemaje maana Mamelod wapo kwenye kiwango kizuri