Umbea wa Rais wa Yanga kwa Motsepe umeiponza Yanga

Yanga tangu mwaka Jana kwenye shirikisho mpaka hapa alipofika, watu walikuwa wanasema mwisho wake umekaribia alafu anapita, baadae lugha ikabadilika tena amekutana na timu ambazo hazipo katika kiwango kizuri kama nyuma.

Kwa issue sijui akipita watu watasemaje maana Mamelod wapo kwenye kiwango kizuri
 
Binadamu tumeumbwa kusahau. Yanga ilipoifunga Simba msimu huu, Rais wa Yanga Hersi Said alienda kujitapa kwa Rais wa CAF na mmiliki wa Mamelodi Sundowns Patrice Motsepe pamoja na Rais wa FIFA Infantino.

Kumbe Motsepe ni mshabiki mkubwa wa Meddie Kagere na anaijua ile kauli yake ya "mnafiki ishi naye kinafiki" akawa anamchora tu mwanetu, akampa hadi cheo bandia kama kile cha Naibu Waziri Mkuu.

Jana mzee mzima akamtumia message Rais wa Vilabu Afrika akimwambia "sisi siyo milima, tumekutana", ameamua kutuma vijana wake kina Shalulile wapunguze kelele mjini na nadhani umbea pia utapungua kwa kiasi fulani.
Zile 5 kufutika ni ngumu
 
Akipita hapo watasema amecheza na Mamelodi Sundowns iliyoshuka kiwango
 
Binadamu tumeumbwa kusahau. Yanga ilipoifunga Simba msimu huu, Rais wa Yanga Hersi Said alienda kujitapa kwa Rais wa CAF na mmiliki wa Mamelodi Sundowns Patrice Motsepe pamoja na Rais wa FIFA Infantino.

Kumbe Motsepe ni mshabiki mkubwa wa Meddie Kagere na anaijua ile kauli yake ya "mnafiki ishi naye kinafiki" akawa anamchora tu mwanetu, akampa hadi cheo bandia kama kile cha Naibu Waziri Mkuu.

Jana mzee mzima akamtumia message Rais wa Vilabu Afrika akimwambia "sisi siyo milima, tumekutana", ameamua kutuma vijana wake kina Shalulile wapunguze kelele mjini na nadhani umbea pia utapungua kwa kiasi fulani.
It is better to keep your mouth closed and let people think you are a fool than to open it and remove all doubt.

Mark Twain
 
Kuna ujinga mwingi umefanyika ndani ya hizi wiki 3 ambao uliitia gundu Deportivo de Utopolo. Tuepuke siasa na tujitenge na wanasiasa katika michezo kama kweli tunataka tufike huko mnapopalilia.

Msione nipo kimya. Niliyoyasema hamkuyasikiliza, nimeamua kuwachora tu sasa hivi. Pambaneni na hali zenu.
 
mambo yakienda tofauti msije mkalia lakini! hii yanga kumbuka inafukizisha makocha wa timu pinzani bila kutarajia!..
yanga yasasa inakusisimua pale ambapo hautarajii!
Yanga ipi hiyo?
 
Vipi vibe lenu la droo bado linaendelea? Maana mlitarajia Al Ahly ni mtelemko kisa mnajuana halafu kutwa kuitishia Yanga kwa Mamelodi eti mtakula nyingi ndani nje ila cha ajabu mpaka sasa kuna timu imepigwa ndani nje na waliomuona ndio kibonde kwao.
 
Vipi vibe lenu la droo bado linaendelea? Maana mlitarajia Al Ahly ni mtelemko kisa mnajuana halafu kutwa kuitishia Yanga kwa Mamelodi eti mtakula nyingi ndani nje ila cha ajabu mpaka sasa kuna timu imepigwa ndani nje na waliomuona ndio kibonde kwao. View attachment 2957516
Nionyeshe kwa uthibitisho wa picha, video au post inayoonyesha ni wapi MIMI niliwahi kusema Al Ahly ni mteremko. Mimi napiga kotekote, Yanga naisema na Simba wakizingua naisema vilevile, sipendi ujinga.

Kwanza nitumie link ya yale majadiliano tulifanya kabla ya mechi za kwanza, kuna kitu nakitafuta.
 
Ila ya Mamelodi kuwa watapiga utopolo vya kutosha pia hukusema? Eti eeh
 
Ndiyo maana nimekwambia nitumie link ya ule uzi maana wakati nyie Yanga wenyewe mlikata tamaa kwa kuwakosa baadhi ya wachezaji wenu, mimi ndiyo niliwaambia mkikaza mnaweza kutoboa.
 
mambo yakienda tofauti msije mkalia lakini! hii yanga kumbuka inafukizisha makocha wa timu pinzani bila kutarajia!..
yanga yasasa inakusisimua pale ambapo hautarajii!
Manual wa kuhongwa hatocheza😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom