Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,383
- 4,412
umbea noma bint kakaa kwenye daladala anaandika msg huku kashika kibegi chake jamaa m1 pembeni akawa anakomaaa kuangalia bint anaandika nn bint akashtukia akaamua kuandika hivi .... yule nyoka mbona ujamtoa meno ya sumu anasumbua kwenye begi anataka kutoka cjui nimfanyeje na alivyo mkubwa!! Jamaa kuona vile akasogea pembeni bint nae hakumchelewesha akamrushia begi jamaa akakulupuka na kelele nyoka nyoka nakufa!!
Binti: ukome kusoma msg za watu
nawatakia usiku mwema
Binti: ukome kusoma msg za watu
nawatakia usiku mwema