Mnaopenda chabo za SMS kwenye simu za watu...dawa yenu hii hapa

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
...e bana kuna watu wadaku!
uko kwenye daladala,au sehemu nyingine unaCHAT.

jirani yako kakomaa...katupia jicho simu yako...kuona msg zinazoingia na kutoka!

kiufupi huwa inaboa na inamnyima mtu uhuru
ni umbea usio na maana!

soma KISA hiki hapa chini,ni kichekesho lakini inaweza kukomesha katabia haka kama vipi unaweza ukaijaribu

"""Mshikaji kakaa kwenye daladala anaandika SMS, huku kashika kibegi chake. Mzee mmoja pembeni si akawa anakomaa kuangalia jamaa anaandika nini! Mshikaji akaamua kubadilia SMS akaanza kuandika: Yule nyoka uliyenipa inaelekea hujamtoa meno ya sumu, hapa nilipo anasumbua kwenye begi anataka kutoka, sijui nifanyeje na alivyo mkubwa akitoka ataniletea tabu hadi mimi. Mzee kuona vile akaanza kusogea pembeni! Mshikaji akachukua begi akamrushia! Mzee akaruka dirishani fasta! Nyokaaaaaaaa nakufaaaaaa! Kwenye daladala mwanawane,sio fureshi kukomaa kusoma meseji za watu!"""
 
BAGAH mbona kama hujaweka link...
Nataka nideal perpendicular na hawa wapiga chabo...sometimes unashindwa kuelewa mtu mimacho inamtoka kama kaminywa korodani
 
Last edited by a moderator:
niko poa mkuu, ndani ya daladala hapa

okey...au tuko daladala moja?...kuna mtu namuona yuko makini sana hapa kuangalia ninachoandika...lol

mm daladala yangu inaimba ule wimbo..."ukimwona mwanayumba"
 
okey...au tuko daladala moja?...kuna mtu namuona yuko makini sana hapa kuangalia ninachoandika...lol

mm daladala yangu inaimba ule wimbo..."ukimwona mwanayumba"

Hahaha hiyo ndio komesha yao ..hapana mkuu mi nipo mitaa ya Morocco ndani ya daladala tunasikiza PB
 
Hahaha hiyo ndio komesha yao ..hapana mkuu mi nipo mitaa ya Morocco ndani ya daladala tunasikiza PB

yap!
kuna mimtu inajua kukomalia unachoandika...haswa uwe umekaa afu pembeni kasimama mtu...fulu chabo...

PB ni daladala zote za posta...nadhani wanalipwa.
 
okey...au tuko daladala moja?...kuna mtu namuona yuko makini sana hapa kuangalia ninachoandika...lol

mm daladala yangu inaimba ule wimbo..."ukimwona mwanayumba"
Hivi bagag uneshatokamo kwen nto kusini mwa nchi?
 
Last edited by a moderator:
:biggrin1: kuna simu zingine zina cover ambazo mtu wa pembeni hawezi kuona kitu akiangalia anaona giza tuu..mi ndio hua natumia basi jamaa akikaa pembeni anabakia kuuliza aisee mbona unajidai unaandika text wakati simu imezima? mijitu kwa umbeshuu
 
me ntakuja kujaribu hyo siku moja. make utakuta niko busy jf afu limtu limekazana kukodoa mimacho!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom