kareem kim
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 439
- 635
Unaongea kishabiki sanaHii ni hatari, hatari kubwa sana, hakuna cha barakoa wala mita moja na ukizingatia "MDUDU (Covid-19)" ndio kaisha anza kibarua chake kwa kasi ya 4G ndani ya Ikulu ya Zanzibar colabo Ikulu Tanzania.
Kwenye huu mkusanyiko mdudu anachekelea tu huko alipo, anajua atazikusanya roho nyingi za wabishi na wazembe wasiomuogopa kwenye huu umati. Ataacha mayatima na wajane wengi sana mwaka huu na mapengo yasiozibika.
Tanzania tuna raia approx. Millioni 60, ila tukipimwa wote basi wenye kirusi si chini ya Millioni 30 mpaka sasa.