Umati wa watu waliosongamana katika mazishi ya Maalim Seif wakiwa hawajavaa barakoa

Manga ML

JF-Expert Member
Jul 6, 2013
9,398
2,000
Dah! Waandaaji kwa nini wasingeweka angalao utaratibu wa kuwanawisha mikono, kutoa barakoa, kutenga maeneo ya watu kukaa/kusimama kwa umbali wa angalao mita moja?

Another breeding ground. Kazi ipo!
Kama umeshindwa kujijali nani akujali?
 
Drifter

JF-Expert Member
Jan 4, 2010
3,142
2,000
Kiongozi mmoja wa serikali kule kilimanjaro aliwataka wananchi waliokuwa wamevaa barakoa kuzivua eti kuhofia magufuri asijekukasirika
Na hiyo ndiyo hofu kuu iliyopo nchini hivi leo. Jiwe. Kuna wengi wanakaribia kuparalaizi wakilifikiria tu hilo jina mpaka corona wanaiita changamoto! 😔
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
50,077
2,000
Hey, nikuambukize nini? Wapi hapo Mungu aliposema "jisaidie na Mimi nitakusaidia"! Toa ushetwani wako hapa! Jitathmini, nani mjinga kati yetu! Usipoelewa basi hadhi yako haipo kwenye ujinga bali ni 'upumbavu'!
Mpuuzi wewe kwahiyo hata ukikatwa panga makusudi inakuwa MUNGU amepanga?? mpuuzi sn
 
Hoshea

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
5,242
2,000
Mtu mweusi ni noma sana!Usipojua tena ni kwa nini ni vyema na haki kwa mtu mweusi kubaguliwa basi utakuwa una matatizo makubwa sana ya akili.Imagine watu wanakufa kwa wingi kwa Corona lakini still watu wanakusanyika kwa kusongamana bila kuvaa barakoa na bila ya kuchukua tahadhari zozote zile na hata hofu hawana! View attachment 1705301
-Wananchi wakiwa wamekusanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja mjini Unguja kusubiri mwili wa Mwendazake Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad.

-Baada ya swala, mwili huo utasafirishwa kwenda kisiwani Pemba kwa ajili ya mazishi leo jioni katika eneo la Mtambwe.
Watu weusi kama wewe hapo ndio malofa ya mwisho, kwani huko ulaya huoni ya nayo tokea, wale ni watu weusi?
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
2,915
2,000
Vizuri Sana.
Lakini kesi ya Corona na tb ni tofauti.
Unataka kusema ukivaa barakoa ukavuta pumzi vile vidudu vya Corona vinabaki kwenye barakoa?.
Na kama unavuta pumzi hata ukiwa umevaa barakoa Ile hewa uliyovuta hauwezi kuwa imebeba virusi vya Corona?.
Maana vile virusi vina kaa kwenye hewa.
Mkuu so logic yako ipo kwamba Hawa virus wanakaa hewani free!
Hawa virus usambaaji wake ni through droplet ambazo zimebeba hao virus kutoka KWA mtu moja kwenda kwenda KWA mwingine, so mask Kama kila mwananchi anaweza kuitumia effectively ,uwezo wa kuzuia kusambaa KWA virus inaweza kua even 60% ,
Kama Hawa virus wangekua free ni air which we breath daily , may be Kama gas ya sum ,dunia hii KWA mda mfupi tangu kuanza tulisha isha,
So mask inasaidia kuzuia au kutrap drops zenye virus to be not inheled, na elewa drops tunazozungumzia hapa zile invisible microdrops,
VAA MASK MKUU , NA MWAMBIE MWINGINE AVAE, karibu kwa hoja au swali lingine,
 
Ng'wanamalundi

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
697
1,000
Mtu mweusi ni noma sana!Usipojua tena ni kwa nini ni vyema na haki kwa mtu mweusi kubaguliwa basi utakuwa una matatizo makubwa sana ya akili.Imagine watu wanakufa kwa wingi kwa Corona lakini still watu wanakusanyika kwa kusongamana bila kuvaa barakoa na bila ya kuchukua tahadhari zozote zile na hata hofu hawana! View attachment 1705301
-Wananchi wakiwa wamekusanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja mjini Unguja kusubiri mwili wa Mwendazake Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad.

-Baada ya swala, mwili huo utasafirishwa kwenda kisiwani Pemba kwa ajili ya mazishi leo jioni katika eneo la Mtambwe.
Hili ndilo tatizo tunalokuwa nalo Watanzania. Mitandao yote, likiwemo jukwaa hili la JF, kutwa imejaa lawama kwa serikali kwamba haitangazi kuwepo kwa corona nchini au watu wangapi wamekufa kutokana na tatizo hilo. Kama mtu binafsi unajua tatizo hilo lipo ingawa serikali haijatangaza, kwa nini usianze wewe mwenyewe kujikinga? Unasubiri mpaka serikali itangaze kama vile kutangaza huko ndiyo kutalimaliza tatizo. Viongozi kadhaa wa serikali na wa dini kila kukicha wanawaasa wananchi kuepuka mikusanyiko, kutosafiri kusiko kwa lazima, kuvaa barakoa na kunawa mara nyingi. Tufanye hayo. Tusikalie kulalamika tu eti serikali haijatangaza kuwepo kwa corona. Zile tahadhari wanazotupa zinatosha.
 
Changalucha

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
285
250
Mtu mweusi ni noma sana!Usipojua tena ni kwa nini ni vyema na haki kwa mtu mweusi kubaguliwa basi utakuwa una matatizo makubwa sana ya akili.Imagine watu wanakufa kwa wingi kwa Corona lakini still watu wanakusanyika kwa kusongamana bila kuvaa barakoa na bila ya kuchukua tahadhari zozote zile na hata hofu hawana! View attachment 1705301
-Wananchi wakiwa wamekusanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja mjini Unguja kusubiri mwili wa Mwendazake Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad.

-Baada ya swala, mwili huo utasafirishwa kwenda kisiwani Pemba kwa ajili ya mazishi leo jioni katika eneo la Mtambwe.
"Wanajifunza" kuishi na virusi vya COVID 19.
 
Hero

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
3,733
2,000
Mpuuzi wewe kwahiyo hata ukikatwa panga makusudi inakuwa MUNGU amepanga?? mpuuzi sn
Acha basi kujitukanisha ndugu! Kwani wapo wangapi waliowahi katwa mapanga na wanaendelea kudunda mpaka leo!? Zikiwa zimefika hata wembe tu, au pilau, au mwiba wa sato utakupeleka kurudisha namba! Acha kupeleka lawama zenye chuki kusiko stahili!
 
mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
29,712
2,000
Sasa wewe ndo muelewa.
Na vipi virusi haviwezi kuingia kupitia ngozi na masikio na macho?
Mkuu so logic yako ipo kwamba Hawa virus wanakaa hewani free!
Hawa virus usambaaji wake ni through droplet ambazo zimebeba hao virus kutoka KWA mtu moja kwenda kwenda KWA mwingine, so mask Kama kila mwananchi anaweza kuitumia effectively ,uwezo wa kuzuia kusambaa KWA virus inaweza kua even 60% ,
Kama Hawa virus wangekua free ni air which we breath daily , may be Kama gas ya sum ,dunia hii KWA mda mfupi tangu kuanza tulisha isha,
So mask inasaidia kuzuia au kutrap drops zenye virus to be not inheled, na elewa drops tunazozungumzia hapa zile invisible microdrops,
VAA MASK MKUU , NA MWAMBIE MWINGINE AVAE, karibu kwa hoja au swali lingine,
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
50,077
2,000
Acha basi kujitukanisha ndugu! Kwani wapo wangapi waliowahi katwa mapanga na wanaendelea kudunda mpaka leo!? Zikiwa zimefika hata wembe tu, au pilau, au mwiba wa sato utakupeleka kurudisha namba! Acha kupeleka lawama zenye chuki kusiko stahili!
Usinifundishe kufikiri
 
kamwamu

JF-Expert Member
May 18, 2014
3,841
2,000
Mtu mweusi ni noma sana!Usipojua tena ni kwa nini ni vyema na haki kwa mtu mweusi kubaguliwa basi utakuwa una matatizo makubwa sana ya akili.Imagine watu wanakufa kwa wingi kwa Corona lakini still watu wanakusanyika kwa kusongamana bila kuvaa barakoa na bila ya kuchukua tahadhari zozote zile na hata hofu hawana! View attachment 1705301
-Wananchi wakiwa wamekusanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja mjini Unguja kusubiri mwili wa Mwendazake Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad.

-Baada ya swala, mwili huo utasafirishwa kwenda kisiwani Pemba kwa ajili ya mazishi leo jioni katika eneo la Mtambwe.
Kutoa miongozo ni jukumu la serikali, ndio tumewapa jukumu la kutuongoza(japo wamegeuka na kututawala),tunawalipa mishahara mikubwa na ving'ora kwenye misafara yao. Lakini leo wanatupeleka kuzimu. Mh Magufuli kuwafungia watu ndani kwa janga la corona hapana, nakuunga mkono. Lakini kuruhusu mikusanyiko kama hiyo kwenye mazishi na mikutano yako kila eneo upitalo, ni hatari kubwa, utatumaliza.
 
kamwamu

JF-Expert Member
May 18, 2014
3,841
2,000
Mtu mweusi ni noma sana!Usipojua tena ni kwa nini ni vyema na haki kwa mtu mweusi kubaguliwa basi utakuwa una matatizo makubwa sana ya akili.Imagine watu wanakufa kwa wingi kwa Corona lakini still watu wanakusanyika kwa kusongamana bila kuvaa barakoa na bila ya kuchukua tahadhari zozote zile na hata hofu hawana! View attachment 1705301
-Wananchi wakiwa wamekusanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja mjini Unguja kusubiri mwili wa Mwendazake Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad.

-Baada ya swala, mwili huo utasafirishwa kwenda kisiwani Pemba kwa ajili ya mazishi leo jioni katika eneo la Mtambwe.
Hapo wanasiasa wanaona aibu kutamka marufuku ya mikusanyiko kwa sababu tu walisha sema maombi yameifuta corona Tanzania. Muungwana akivuliwa nguo huchutama, mbona viongozi wetu wako wima na wanapiga miruzi?
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
30,866
2,000
Mtu mweusi ni noma sana!Usipojua tena ni kwa nini ni vyema na haki kwa mtu mweusi kubaguliwa basi utakuwa una matatizo makubwa sana ya akili.

Imagine watu wanakufa kwa wingi kwa Corona lakini still watu wanakusanyika kwa kusongamana bila kuvaa barakoa na bila ya kuchukua tahadhari zozote zile na hata hofu hawana.

View attachment 1705301

-Wananchi wakiwa wamekusanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja mjini Unguja kusubiri mwili wa Mwendazake Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad.

-Baada ya suala, mwili huo utasafirishwa kwenda kisiwani Pemba kwa ajili ya mazishi leo jioni katika eneo la Mtambwe.
Watu wengi wataondoka na virusi vya Corona hapo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom