Umasikini wa kujitakia huwa hivi

Umasikini wa kujitakia huwa hivi

Hii inaeleweka vizuri kichwani, inabidi ishuke taratibu itulie kwenye moyo. Unaweza kubandika mahali unapoweza kusoma kila siku ili iwe kama utaratibu wako. Shukrani sana Galacha Maestro
 
Asante kwa kutukumbusha. Halafu leo ndo nimejua maana ya petty cash! loh! Huwa naskia tu mchukulie kwenye petty cash. Nimekubali yote isipokuwa kwenye gari. Ila kwenye gari hapo umeuliza gari la nini? La kutembelea. Usafiri dar kero atii. Mambo ya kuamka saa 10 na kulala saa 6 siyafurahii wala kunyeshewa na kupigwa jua sifurahii ila sina jinsi, kwa hiyo nitakopa na nitanunua gari na kuihudumia kama ninahudumia mtoto. Kwa hiyo badala ya kuzaa watoto watatu nitazaa wawili na gari mtoto wa tatu. Hiyo biashara nitakayofanya mpaka nipate faida ya kununua gari ni ipi na kwa muda gani? Basi ongeza pointi nyingine hapo kuwa tusijenge nyumba kwa kutumia mishahara yetu au mikopo halafu utuambie tukalale wapi wakati tunasubiri biashara zetu zikue. Mambo mengine si mtambuka. Ila ni vizuri kutoa angalizo. Kule arusha ndo usafiri mteremko. kihais kinakufata hadi mlangoni ili wasikukose, abiria hawasimami, kuna kuongea bei.... Huku dar usafiri wa umma ukikaa sawa nitauza gari niwekeze hiyo hela.
Asante kwa mawazo yako. Kama unaweza nunua gari na maisha yakenda na sio kulipaki ni vizuri sana. Na ukweli usafir dar niwa shida. Naosemea n wale wanaonunua kwa lengo la kuoshea.
 
Asante kwa mawazo yako. Kama unaweza nunua gari na maisha yakenda na sio kulipaki ni vizuri sana. Na ukweli usafir dar niwa shida. Naosemea n wale wanaonunua kwa lengo la kuoshea.
kuna wakati unalazimika kupaki na naona ni sawa tu kwa sababu siku hazifanani. Hata wasio na magari kuna wakati wanatembea kwa miguu kusevu mia 4 ya daladala au buku ya bodaboda. kuna wakati wanalazimika kupika makande mengi na kujaza kwenye friza ili kuokoa mkaa kwa hiyo kubana matumizi kunahusu watu wote. hata matajiri huwa wanapata mdororo wa uchumi. nikiona mtu kapaki gari namsifu kuliko yule aliyeishiwa lakini hakubali kupaki gari anaishia kuingia kwenye mashimo marefu ya madeni ili aendelee kuosha.
 
Nime print na kuibandika kwenye mlango wa fridge hapa maana hakuna namna hiyo ya nguo na michepuko ishakula sana hela yangu, na kuaanzia January hii nilianza kuifanyika kama malengo ya mwaka 2016 na nashukuru nimekutana na huu uzi maana haya maisha unaweza ukazani umerogwa kumbe mchawi mwenyewe.
 
Asante sana kwa kusoma na kuipenda hiyo post. One love.
 
Namba 8 si kweli kaka!Kama mchepuko unanipa papuchi hapo hanichuni bali tunachunana
 
hiyo namva 9 nazinduka kuanzia now umenitumbua jipu shikamoo mtoa mada nimepuga goti kabisaaaa
 
Back
Top Bottom