Elections 2010 Umasikini utaongezeka kama hatutafuti haki yetu ya kweli

Kishalu

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,173
708
Ni ukweli uliyo dhahiri kuwa zoezi zima la uchaguzi liliendeshwa kwa njia ambazo zinaonekana kukipendelea chama tawala na kwa sasa kilichobaki ni kwa sisi watanzania ambao tunataka kutoka kwenye umasikini kutetea haki yetu kwa njia yeyote maana hata wakati wa ukoloni mababu zetu walijitoa kwa moyo mmoja kwa nini sisi tunaogopa?

Nawakilisha wajume
 
ilikujikomboa na umaskini kuwa mjasiria mali hata hilo nalo hufahamu na kampeni zimejaa tele. Badilika kuwa mjasiria mali ukitegemea raisi akuletee pesa hutapata ng'o.
 
Hoja yako ni ya kibinafsi zaidi!!
 
Back
Top Bottom